Wizi wa kijinga sana unafanyika Mwanza

Wizi wa kijinga sana unafanyika Mwanza

Awali kabla hajassve hiyo nmba.....kulikuwa kuna hilo jina mama mkWe?
Ndio jina lilikuwepo. Anachofanya mfano umesave "David" yeye pia namba yake atasave "David." anaongeza kanukta mwishoni kiasi kwamba akipiga wewe utajua ni David wako unayemfahamu
 
Sas naww ulivotuma hela jina gani lilitokea?la mamamkwe au la nani? Km pia hujui jina la mamamkwe wako basi ni uzembe wako
Alisema kuna mtu anasubiri pesa kwa hiyo akanipa namba ya huyo mtu na jina litakalokuja baada ya kutuma pesa...Sio kwamba nilituma kwa namba ya mamamkwe
 
Ndio jina lilikuwepo. Anachofanya mfano umesave "David" yeye pia namba yake atasave "David." anaongeza kanukta mwishoni kiasi kwamba akipiga wewe utajua ni David wako unayemfahamu
Well
Hapo unakuta anakujua halafu anacheza Na namba unayopenda kuifanyia miamala ya fasta
 
Sas naww ulivotuma hela jina gani lilitokea?la mamamkwe au la nani? Km pia hujui jina la mamamkwe wako basi ni uzembe wako
Halafu pia kumbuka sio watu wote wenye simu laini zao walisajilia vitambulisho vyao.
 
Pole sana binti..... huyo mwizi n wa kuchomwa moto hali n Ngumu kwa sasa... afu mtu anapata PESA kizembe..... fala kbaaa huyo
 
Pole sana binti..... huyo mwizi n wa kuchomwa moto hali n Ngumu kwa sasa... afu mtu anapata PESA kizembe..... fala kbaaa huyo
Kokote atakakoenda kutapeli tena na akakamatwa wasimwache kabisa. Tena ni watu wa kuwekewa mitego kabisa. Wakati watu wanahangaika usiku na mchana kutafuta pesa wengine wanachukua kizembe kabisa
 
Mimi hata mama yangu akinitumia msg ya kuomba pesa huwa nampigia kwanza na asipojibu simu basi hela haiendi
Ndio inavyotakiwa lakini katika biashara huku mambo mengi. Utapeli huu anakuwa amejipanga
 
Kugusa tu simu yangu ni risk kubwa sana sembuse nimpe atume message tchaaa! Uliyataka mwenyewe bana!
Nashukuru ndio maana nimewatahadharisha wenzangu "wasiyatake wenyewe"kama mimi.
 
Back
Top Bottom