Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

Well well!
Ni upotoshaji tu wa vyombo vya habari walio kamatwa tukuyu leo sio wezi, ila ni wakopeshaji amb ao ukopesha wafanyakazi na wao kuweka dhamana Kadi zao za benki na kukabidhi na password kuwa mshahara ukiingia kachukue chako, na hii wa walio ishi mawilayani ipo sana.
Hakuna kabisa hiyo kitu!! unawapa ATM ili usiweze kuchukua hela kabla hujawalipa na hawa jamaa hawakopeshi pesa wanakopesha vifaa!! kama ni hivyo kwa nini wafanye transaction usiku?????????
HAWA WEZI TUU!!!!!!!!!
 
Umejuaje wanakopesha pesa na sio vifaa? Chondechonde kama hujuhi ni bora kukaa kimya kuliko kutumia nguvu nyingi. Huo ndio ukweli watu wanatia atm card zao wenyewe, ili kulipa madeni na hao wanao kopesha ni ma aliwatan wa vijijini hawawezi kuiba hle ya mwalimu wanakata chao kitakacho bakia unaenda kuchukua mwenyewe.
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.
Mkuu, vipi wale hackers ambao wana uwezo wa kuingilia kwenye kompyuta ya mtu mwingine wakiwa remote? Hapa namaanisha mtu yuko sehemu A halafu ana-access kompyuta ya mtu mwingine ambaye yuko sehemu B na kupata info zote kana kwamba yuko pale au yuko kwenye kompyuta yake.
Njia hii haiwezi kuwa imetumika pia?
 
hili swala la wizi NMB limekuwa gumzo sana na ibaya sana ndani ya benki hii hakuna hata asecurity ya kueleweka. Mwaka jana nilipigwa hela kadhaa pale NMB Uluguru Morogoro, tena cha ajabu CCTV yao iko poor bora tena na hata za kwenye masuper market, mwizi kaonekana kwenye kamera zao ila sura haionekani fresh mpaka leo ile video ninayo na naendelea kudaiana nao hii benki.

jana kwa macho yangu nimeshuhudia mama mmoja hapa morogoro kwenye tawi la wami akipigwa hivi hivi pesa zote alillia kama mtt mdogo. nilijiuliza hivi ni kwamba hata hawa askari wa nmb wanakula njama na haa wezi?? sasa kama tu kudeal na hawa wanaoonekana ni ishu je vipi kudeal na hao wa electronics?? kweli NMB muwe makini mtaliza wengi.

Ni kisema wewe ni muongo naamini nitakuwa sijakosea.
Moja ili uhibiwe kwenye ATM ni lazima mwizi awe na Kadi yako pia na Number ya siri.
Kinachotokea wengi huwa wanatuma member wa familia zao kwa kuwaamini na siku wakizubaa huwa wanaiba kadi na kuja kuchukua hizo hela.
Pile hakuna benki itakayo ruhusu wewe kuwa na hiyo video kutoka security camera abadani.
Tatu hakuna benki itakayo endelea kudaiwa kwa wizi wa ATM unless ni uzembe wako mwenyewe ila kama ni uzembe wa benki kwavyovyote utakuwa ushalipwa hela yako.

Nne security ya pesa za mteja ni wajibu wako pamoja na kuwepo kwa askari benki, na kaa ukijua hata wakivamia majambazi ukaibiwa hela ukiwa kaunta ya benki hizo hela hulipwi unless ulishalabidhi kwa teller na ukapewa stakabadi yako ya ku deposit.
 
kuhusu picha kuwa mbaya wanachukua empty cd, wanaileleza kwenye kamera, miale yote inagonga kwenye kamera hivyo kamera inasoma zero. Msishangae sana hata ulaya wanaibiwa sana. nawapa pole waliopoteza pesa zao.
ATM za siku hizi zinakuja na built in camera. Yaani unapokuwa unafanya transaction ni lazima uiangalie camera. Zimeshafungwa nyingi sana mijini.
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.

Kwa taarifa hauwez ona namba ya siri ya mteja kwa mfumo ulivyo wa atm card pia hata kama utafanikiwa kuijua namba ya siri ya mteja bila kupata card yake hauwez iba.Na kama ukisema ufanye card skiming may b kwa kuweka kifaa ktk atm kichukue namba information za wateja kisha ukafanye hyo skiming kwa card ambazo una detailz zake
Kuhusu hilo la tukuyu ni kwamba watumish wengi wanatabia ya kwenda kukopa na kuwekeza kadi na kuwapa hao wanaowakopesha namba za siri sasa mwisho wa mwezi hao waliopewa card wanaenda kuchukua hela ktk atm,nadhan hapo unaona vp inavyokuwa sasa hao walikuwa wamekopesha wateja wa mbozi wakaaamua kwenda tukuyu kuchukua hela polisi wakashtuka kuona wanakaa muda sana ndio wakawakuta na hizo card na hzo hela mil 20

Kwa hyo hapo wanaohusika ni wateja wenyewe
 
ni kisema wewe ni muongo naamini nitakuwa sijakosea.
Moja ili uhibiwe kwenye atm ni lazima mwizi awe na kadi yako pia na number ya siri.
Kinachotokea wengi huwa wanatuma member wa familia zao kwa kuwaamini na siku wakizubaa huwa wanaiba kadi na kuja kuchukua hizo hela.
Pile hakuna benki itakayo ruhusu wewe kuwa na hiyo video kutoka security camera abadani.
Tatu hakuna benki itakayo endelea kudaiwa kwa wizi wa atm unless ni uzembe wako mwenyewe ila kama ni uzembe wa benki kwavyovyote utakuwa ushalipwa hela yako.

Nne security ya pesa za mteja ni wajibu wako pamoja na kuwepo kwa askari benki, na kaa ukijua hata wakivamia majambazi ukaibiwa hela ukiwa kaunta ya benki hizo hela hulipwi unless ulishalabidhi kwa teller na ukapewa stakabadi yako ya ku deposit.
rudi kasome upya post yanga usidandie treni kwa mbele mm nimeibiwa ndani ya benki na ndio mana walIweza kuupload video kwenye sec cam yao wakanionyesha na nilikuwa ndani ya benki sijasema nimeibiwa kweye atm....................... Na mpaka leo despite kwenda kwa zonal manager bado sijalipwa shauri liko kwenye hatua ya kusklIiza wajiridhishe.

Kibaya zaid wezi waliingia ndani ya benki wakiwa 3 na ilionekana jinsi ambavyo mmoja alitempa na pochi kwenye meza ya kujazia slip hapo ndani wakati mwingine akimsemesha mdada wa kastama care na mwingine akiongea na mlinzi aliyeko ndani ya benki.

Halafu usiwe kama hujaenda shule hivi nimeibiwa hela ndani ya benki je wafikiri mm kuwa na video inayoonyesha tukio zima sistahili?? Sasa nikikuonyesha iyo picha utasemaje?? Tatizo hujui hata sheria zako kama mteja unakurupuka tu. Wafikiri mm kama nikitaka kushtaki benki nawashtaki kwa kutumia evidence zipi?? Hii ni moja ya vielelezo vyangu na uzuri polis wenyewe walikiri udhaiu wa sec cam za benki hii na hivyo kushindikana kupatikana kwa wezi kwan sura zao hazijaonekana vyema licha ya kauleta wataalam wa mambo hayo. Kilichobaki benki naibana hadi inilipe pesa zangu hata kama ni za madafu
soma uelewe wewe.
 
Kwa taarifa hauwez ona namba ya siri ya mteja kwa mfumo ulivyo wa atm card pia hata kama utafanikiwa kuijua namba ya siri ya mteja bila kupata card yake hauwez iba.Na kama ukisema ufanye card skiming may b kwa kuweka kifaa ktk atm kichukue namba information za wateja kisha ukafanye hyo skiming kwa card ambazo una detailz zake
Kuhusu hilo la tukuyu ni kwamba watumish wengi wanatabia ya kwenda kukopa na kuwekeza kadi na kuwapa hao wanaowakopesha namba za siri sasa mwisho wa mwezi hao waliopewa card wanaenda kuchukua hela ktk atm,nadhan hapo unaona vp inavyokuwa sasa hao walikuwa wamekopesha wateja wa mbozi wakaaamua kwenda tukuyu kuchukua hela polisi wakashtuka kuona wanakaa muda sana ndio wakawakuta na hizo card na hzo hela mil 20

Kwa hyo hapo wanaohusika ni wateja wenyewe

Huo ndio ukweli na ipo kila wilaya ya Tanzania, walimu wanakopa sana na hali zao ni mbaya.
 
rudi kasome upya post yanga usidandie treni kwa mbele mm nimeibiwa ndani ya benki na ndio mana walIweza kuupload video kwenye sec cam yao wakanionyesha na nilikuwa ndani ya benki sijasema nimeibiwa kweye atm....................... Na mpaka leo despite kwenda kwa zonal manager bado sijalipwa shauri liko kwenye hatua ya kusklIiza wajiridhishe.

Kibaya zaid wezi waliingia ndani ya benki wakiwa 3 na ilionekana jinsi ambavyo mmoja alitempa na pochi kwenye meza ya kujazia slip hapo ndani wakati mwingine akimsemesha mdada wa kastama care na mwingine akiongea na mlinzi aliyeko ndani ya benki.

Halafu usiwe kama hujaenda shule hivi nimeibiwa hela ndani ya benki je wafikiri mm kuwa na video inayoonyesha tukio zima sistahili?? Sasa nikikuonyesha iyo picha utasemaje?? Tatizo hujui hata sheria zako kama mteja unakurupuka tu. Wafikiri mm kama nikitaka kushtaki benki nawashtaki kwa kutumia evidence zipi?? Hii ni moja ya vielelezo vyangu na uzuri polis wenyewe walikiri udhaiu wa sec cam za benki hii na hivyo kushindikana kupatikana kwa wezi kwan sura zao hazijaonekana vyema licha ya kauleta wataalam wa mambo hayo. Kilichobaki benki naibana hadi inilipe pesa zangu hata kama ni za madafu
soma uelewe wewe.

POlE SANA, Nimetoka morogoro juzi tu na nilikuwa hapo NMB WAMI, na kwa asilimia 1000, wewe ni muongo. Hakuna kitu kama hicho. Hilo la matusi nakureport mods wataamua.
 
mbona kama huelewi soma hapo juu niliibiwa benki gani?? je nimesema ni wami?? hebu usiwe kama umeshalewa soma uelewe mada ya mtu.

nashindwa kelewa waalimu wako walikufundisha nini kwakweli kama kuelewa mtu anasemaje ni tatiz hivi.
 
Wewe ni muongo huwezi kuibiwa kaunter na kama umeibiwa kaunter hiyo kesi sio ya benki.

Na kwa taarifa yako kwa morogoro hakuna benki yenye zonal manger au mfumo wa zone zaidi ya NMB. Wacha uongo , unakusaidia nini ? Au unalipwanini kwa kuongopa?
 
Tena inawezekana wakawa wamepga zaidi ya hizo.. wameficha kusema ukweli
 
Wewe ni muongo huwezi kuibiwa kaunter na kama umeibiwa kaunter hiyo kesi sio ya benki.

Na kwa taarifa yako kwa morogoro hakuna benki yenye zonal manger au mfumo wa zone zaidi ya NMB. Wacha uongo , unakusaidia nini ? Au unalipwanini kwa kuongopa?
unatatizo la uelewa na unafanya kazi ambayo huijui kiundani. ila soma pm yangu nimekupa ulichokitaka ili uelewe
 
Inavyoonesha hari ni mbaya sana, maana tumesikia MWZ, MBY, MORO nk, hapa hakuna aliye salama, kama wasipofanya uchunguzi wa uhakika na kutafuta suruhu hakika tutaanza kuchimbia pesa aridhini na majambazi na vibaka tutawapa faida hapa.
 
Hao wakopeshaji ndio wanaotuletea matatizo sana. kama mtu umemkopesha si kuna taratibu za udhamini? kwanini achukue card na password? huo ni wizi!
 
Back
Top Bottom