Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Kwa mujibu wa taarifa zilizo rasmi, watu wanne wamekamtwa wakiwa na kadi 150 za ATM kwenye benk ya NMB Tukuyu Mbeya na tayari walishatoa Milioni 20.

Teknologia inatutafafuna watanzania
 
Yaani, nipo Makandana hapa hebu nikatazame akaunti yangu pale mlimani!
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizo rasmi, watu wanne wamekamtwa wakiwa na kadi 150 za ATM kwenye benk ya NMB Tukuyu Mbeya na tayari walishatoa Milioni 20,
Teknologia inatutafafuna watanzania

Poleni kwa walioibiwa. Labda hata wengine hawatajua kuwa walishaibiwa sana kwenye mabenki. Hakuna security kwenye mabenki siku hizi. Hata mitandao ya simu pia hakuna usalama.
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.

Hata CRDB wanapigwa kwny ATM sana tu mkuu,sema huwa ishu inakuwa siri sn,mteja ukiibiwa,ukienda kulalamikawanakuita wanakurudishia chako kimya kimya,
wana avoid sana ishu isiende kwenye media itashusha company's reputation.
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka! All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.
Kuna mtu aliibiwa, from CRDB akaunti wakamwambia kadi yake ilitumika Malawi, wakati hajawahi fika malawi hata day moja, anawadai crdb hadi leo
 
hata Ulaya watu wanaiba msidanganyane ni hapa bongo tu, kila kukicha huko Uk na US watu anakwapua kwenye ma credit card. Wabongo waliopo huko wanafanya sana hizo issues
 
hili swala la wizi NMB limekuwa gumzo sana na ibaya sana ndani ya benki hii hakuna hata asecurity ya kueleweka. Mwaka jana nilipigwa hela kadhaa pale NMB Uluguru Morogoro, tena cha ajabu CCTV yao iko poor bora tena na hata za kwenye masuper market, mwizi kaonekana kwenye kamera zao ila sura haionekani fresh mpaka leo ile video ninayo na naendelea kudaiana nao hii benki.

jana kwa macho yangu nimeshuhudia mama mmoja hapa morogoro kwenye tawi la wami akipigwa hivi hivi pesa zote alillia kama mtt mdogo. nilijiuliza hivi ni kwamba hata hawa askari wa nmb wanakula njama na haa wezi?? sasa kama tu kudeal na hawa wanaoonekana ni ishu je vipi kudeal na hao wa electronics?? kweli NMB muwe makini mtaliza wengi.
 
Hii ni habari mbaya sana sasa tusiweza kupeleka pesa visiwa vya Jersey na Uswis

Bora tuweke pesa kwenye Makopo
Tuko nyuma teknolojia kwasasa maana
Pesa zikiwa kwenye usalama ndiyo zinaibwa
kiusalama zaidi.
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.

kama haijawahi kukukuta usijisifu mkuu bora uwe mpole tu..
 
hili swala la wizi NMB limekuwa gumzo sana na ibaya sana ndani ya benki hii hakuna hata asecurity ya kueleweka. Mwaka jana nilipigwa hela kadhaa pale NMB Uluguru Morogoro, tena cha ajabu CCTV yao iko poor bora tena na hata za kwenye masuper market, mwizi kaonekana kwenye kamera zao ila sura haionekani fresh mpaka leo ile video ninayo na naendelea kudaiana nao hii benki.

jana kwa macho yangu nimeshuhudia mama mmoja hapa morogoro kwenye tawi la wami akipigwa hivi hivi pesa zote alillia kama mtt mdogo. nilijiuliza hivi ni kwamba hata hawa askari wa nmb wanakula njama na haa wezi?? sasa kama tu kudeal na hawa wanaoonekana ni ishu je vipi kudeal na hao wa electronics?? kweli NMB muwe makini mtaliza wengi.[/QUOT

Mkuu kama mambo yenyewe ndiyo haya sijui itakuwaje naona sasa watu tutaanza kuunga foleni kuchukua hela dirishani na kuachana na hizi ATM..
 
nyerere alisema ukila nyama ya mtu hutaacha hii inadhihirisha kuwa mwisho wa mwizi ni kukamatwa tu hata wangepata milioni 200 wasingetosheka hadi washikwe
 
Hata CRDB wanapigwa kwny ATM sana tu mkuu,sema huwa ishu inakuwa siri sn,mteja ukiibiwa,ukienda kulalamikawanakuita wanakurudishia chako kimya kimya,
wana avoid sana ishu isiende kwenye media itashusha company's reputation.

issue kama hii imewahi kutokea benki moja huku kanda ya ziwa.
Mteja kachukua mkopo wa million 8 kahesabiwa fresh na cashier na akaondoka, then baada ya nusu saa akarudi na kudai kwamba kapewa fedha za bandia milion 3.5 ktk zle pesa alizopewa na cashier.
Hatimaye muhahisi na bm wakakubaliana kumrudishia pesa halali na kuzipunch zile za bandia.
Nilipojaribu kuuliza wakasema tunaua soo na kuavoid bank reputation that may be done by media.
 
Naungana na wachangiaji wengi apo juu kulalama wizi wa kwenye atm,ila kiukweli kuiba kwenye atm ni ngumu hasa kwa benki zilizojipanga kitechnologia. Ila wateja pia tuweni macho,mtu asikupigie simu kuomba namba za kadi,muda ulioandikwa kwenye kadi,wala chochote kuhusu akaunti. Mwanzo wa kuibiwa ni apo tu. Ukitoa detail zako ovyo,mtu anaweza kuwa amekaa chumbani kwake urusi akavuta salio lako kwa detail ulizompa. Kuna jamaa anasema Crdb pia wanaibiwa,sikatai. Pia mwingne anasema wanaibiwa ila kulinda heshima ya kampun ukipiga kelele wanakurudshia. Kutoka wapi?-apa hamna cha heshima, ni kuwa IT ya hawa watu iko powa sana,yani ukiclaim/ukiripoti mapema wanao uwezo wa kutrace nani katoa,wapi katolewa pesa,device gani imetumika,muda tarehe,na hata picha za aliyetoa pesa,mwishowe ananaswa pesa inarudi. Naomba wanajf mtambue kuwa kama mtu hujaibiwa kwa uzembe wako,pesa ikiwa benki ikatolewa bila idhini yako,anayeibiwa ni benki wala si wewe mteja. Benki wanalo jukumu la kukutunzia pesa yako,ikipotea ni wao.
 
ninyi, wateja wa ATM mnajisahau sana mnapochukua fedha zenu zile karatasi za kukujulisha account detail mnatupa ovyo.
wezi wanachofanya wanachukua acc. detail wanazifanyia kazi, sio ishu kujua passcode yakowenyewe wanafanyia kazi custom id na kutengeneza program ya kukokotoa no. na kupata master code yako hivyo ni laisi sana kukuibia, kuhusu picha kuwa mbaya wanachukua empty cd, wanaileleza kwenye kamera, miale yote inagonga kwenye kamera hivyo kamera inasoma zero. Msishangae sana hata ulaya wanaibiwa sana. nawapa pole waliopoteza pesa zao.
 
mkuu umeshawahi ku'test nini?
 
Mimi sifanyi kazi CRDB na wala sio msemaji wao.....! Lakini haiwezekani kuiibia CRDB kwa aina hii ya wizi wa ATM, technolojia inayotumika na bank hii, wezi wanachemka!

All in all, haiwezekani kufanya aina hii ya wizi bila kuwa na ushirikiano na wafanyakazi wa bank husika wa kitengo cha IT. Hivyo basi kuwakamata hao wezi ni hatua ya kwanza, lakini pia kugundua wanao shirikiana nao ndani ya bank ni kubwa zaidi........! Ukichukua namba za simu za hao wezi, na ukachunguza mawasiliano yao kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita, huwezi kukosa namba za wafanyakazi wa IT wa NMB.

Well well!
Ni upotoshaji tu wa vyombo vya habari walio kamatwa tukuyu leo sio wezi, ila ni wakopeshaji amb ao ukopesha wafanyakazi na wao kuweka dhamana Kadi zao za benki na kukabidhi na password kuwa mshahara ukiingia kachukue chako, na hii wa walio ishi mawilayani ipo sana.
 
Back
Top Bottom