Wizi usio na faida teh!

Wizi usio na faida teh!

Utakuwa unatumia masufuria ya Ujerumani, hayo wanauza kama chuma chakavu, tumia ya Taiwani, hawaibi ng'o.

Huku kwa binti madenge ndo wanaiba sufuria ya ugali iliyolowekwa. Wanaenda kuiosha mbele ya safari
 
unaona ajabu kuibiwa viatu mtaani kwetu mwanakwiba ndala hadi gagulo kudadeki...yani hadi taulo ukianika wanaiba
 
huku wanaiba hadi dodoki aisee, sijui ni laana?
hizo sufuria za taiwan zinatoboka asubuhi na jioni! umajua kupika kande daily kwa moto wa magunzi? weka mbali na watoto!
Utakuwa unatumia masufuria ya Ujerumani, hayo wanauza kama chuma chakavu, tumia ya Taiwani, hawaibi ng'o.
 
he he, usinikumbushe, niliibiwa ndala za kuogea, nkajiuliza mwizi alikuwa peku?

huku wanaiba hadi dodoki aisee, sijui ni laana?
hizo sufuria za taiwan zinatoboka asubuhi na jioni! umajua kupika kande daily kwa moto wa magunzi? weka mbali na watoto!
 
Mwizi aibe halafu akurudishie..!! basi ivo vilikuwa vimechoka sana
 
ni uchafu tu.
On a serious note, ukishapika ugali ukaosha mwiko hapo hapo hautakaukia na kuhitaji kulowekwa. na mpaka ule ugali ushibe, uoshe vyombo na kusafisha jikoni basi sufuria imeshasafishika. jiko linatakiwa kuwa safi wakati wote kama hutaki kutembelewa na mende na wadudu watambaao
nishawahi kusikia hili nikiuliza kwanini naambiwa vibaya ubaya wake ni nini kwani
 
ni uchafu tu.
On a serious note, ukishapika ugali ukaosha mwiko hapo hapo hautakaukia na kuhitaji kulowekwa. na mpaka ule ugali ushibe, uoshe vyombo na kusafisha jikoni basi sufuria imeshasafishika. jiko linatakiwa kuwa safi wakati wote kama hutaki kutembelewa na mende na wadudu watambaao

nimekupata na huwa siloweki tangu na miaka saba nasikia kuloweka mwiko vibaya ubaya wake ni mwalimu wangu huwa hawi specific (mom) sana sana napewa maelezo hayo hayo kama yako mi huwa nafata maagizo yake tu
 
Back
Top Bottom