Wizi usio na faida teh!

Wizi usio na faida teh!

Asalamu alaekum naona mshafuturu wengine ,swaumu noumaaaaaaaaaa!!!!!!!!


Hawa vibaka ni noumaa jana alikuja rafiki yangu kunisalimiaa sina hili wala lile nikamkaribishaa ndanii,tumekaa tunapiga soga weeee hatuna habareee siee muda wa kuondoka akaniaga tunatoka tu hivii hatuonii viatu vyake nikamuambia viatu uliingia navyo ndanii akasema hapana niliviacha hapa nje lo!!!!vya kwangu vipoo vinanitumbulia machoo basi nikazunguka nyumba yote nilikua nimeacha geti wazii nikawaza vishapitiwaa hivii na haijawah tokeaa kuibiwaa! !nikampa viatu vingine akavaa huyooo akaenda kwaoooo
Nikawatarifu baadhi ya majiranii kua leo nimeibiwa viatu vya mgenii wakaguna tu mmhhhh labda watoto wamepitiaa
Basi nikapiga mkwara mbuziii kua ntaacha vingine viatu mpaka nikamate mwiz wangu badala aibe hata mbuzi akanywe supuu anaiba viatu utakuta hata havimtoshii
Basi leo nimekaa napikaa nasikia hodiiiii nikaitika karibuu mtoto wa jiran akaingia kabeba mfuko
Mtoto:shikamoo .....nimeleta viatu hivi hapa tuliviokota kule njee tulisikia uliipoteza viatu jana
Nikamjibu haya viweke hapooo chinii,,,,, basi nikabaki na labdaaa kichwaniii nikampigia simu shosti yangu akaja nikamsimuliaa nae akabaki anashangaaa

Huu wiz mdogo mdogo bana hata hauna maana bora ukaibe benki mabilioniii uwe kibopaaaaaaaaaaaaa viatu vitakusaidia niniii mmxxxxxxxxiiiuuuuu zake alieiba hata kama hayupo humu""!
RAMADAN NJEMA!!!😀😀😀😀😀

Hivi kuna wizi wenye faida kumbe - kama kuiba benki. Ndio nayajua haya. Nilidhani wizi wa aina yoyoyte sio kitu kizuri
 
Hivi kuna wizi wenye faida kumbe - kama kuiba benki. Ndio nayajua haya. Nilidhani wizi wa aina yoyoyte sio kitu kizuri

Wiz mwingine una faidaa unawaona kina Lowaza na jikwetee oooo
 
mie kuna madogo waliniibia tv na king'amuzi najua kombe la dunia likiisha watarudisha tu nimeshawaendea kwa mpemba

Kwa hiyo sasa hiv mpira unaangalia wapiii???? Duuu
 
Si bora viatu, kuna kibaka sliingiaga ndani akaiba sh 30 mezani akaenda kununua fegi eti...
 
Uuuuwii, jameni kama viatu haviibiki na wabwia unga, hali ya P.I.C.H.U ipoje?
 
Dinazarde;
Kwelii umenmalizaa. Yaani hukujua kuwa vimechukuliwa na yule Mpembaa?? Kenda fanza mambo yake atii. Yule rafikiyo si wamjua anavyorusha mitekee. Weye poa tu utajionea mwenyewe. Kwisha habar yake huyoo
 
Dinazarde;
Kwelii umenmalizaa. Yaani hukujua kuwa vimechukuliwa na yule Mpembaa?? Kenda fanza mambo yake atii. Yule rafikiyo si wamjua anavyorusha mitekee. Weye poa tu utajionea mwenyewe. Kwisha habar yake huyoo

Mmmm miteke ipiiii???
 
Back
Top Bottom