Hayaaa ntamuambia asivivaeee lo kumbeee
Mi nilidhan watachukua vyotee
Mwizi aache vipya achukue vilivyochoka?...nunua mdundo mpya ww
hahahah looh huyo mwizi angebeba vyote ningemwona mjanja...kaacha vyako..hii inaonyesha viatu vyako vimekaririwa mtaani kote
na pia hilo sonyo katolee mtaani kwako bibiwe ndo waliokuibia sio sie...
missed u sana

hahaaa abuy mdundo mpya tuje tubebe tn tn ununue size 38
Fanya hivyo mpenz maana nimeona miss neddy biashara hii inamlipa sana nikaona isiwe tabu ngoja na mimi nithubutu
Siishi uswahiliniii ila niliacha geti waz sikufungaaa
Mmmmhhhhhhhhhhh kazi kujihisi hisii tu utakuta ni wewe umeniibiaaa huna loloteeee
Au labda viatu vyake vimekwisha soli au havina mvuto 🙂
Heheheheh twende nkakununulie kkoo hivi simple havifiki hata buku 10 unang'aa
khaa buku 10 kubwa hvyoo wkt nauli mpk kwa Dina haizd hyo buku3 hahaaaa