Wizi usio na faida teh!

Wizi usio na faida teh!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
Asalamu alaekum naona mshafuturu wengine ,swaumu noumaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Hawa vibaka ni noumaa jana alikuja rafiki yangu kunisalimiaa sina hili wala lile nikamkaribishaa ndanii,tumekaa tunapiga soga weeee hatuna habareee siee muda wa kuondoka akaniaga tunatoka tu hivii hatuonii viatu vyake nikamuambia viatu uliingia navyo ndanii akasema hapana niliviacha hapa nje lo!!!!vya kwangu vipoo vinanitumbulia machoo basi nikazunguka nyumba yote nilikua nimeacha geti wazii nikawaza vishapitiwaa hivii na haijawah tokeaa kuibiwaa! !nikampa viatu vingine akavaa huyooo akaenda kwaoooo
Nikawatarifu baadhi ya majiranii kua leo nimeibiwa viatu vya mgenii wakaguna tu mmhhhh labda watoto wamepitiaa
Basi nikapiga mkwara mbuziii kua ntaacha vingine viatu mpaka nikamate mwiz wangu badala aibe hata mbuzi akanywe supuu anaiba viatu utakuta hata havimtoshii
Basi leo nimekaa napikaa nasikia hodiiiii nikaitika karibuu mtoto wa jiran akaingia kabeba mfuko
Mtoto:shikamoo .....nimeleta viatu hivi hapa tuliviokota kule njee tulisikia uliipoteza viatu jana
Nikamjibu haya viweke hapooo chinii,,,,, basi nikabaki na labdaaa kichwaniii nikampigia simu shosti yangu akaja nikamsimuliaa nae akabaki anashangaaa

Huu wiz mdogo mdogo bana hata hauna maana bora ukaibe benki mabilioniii uwe kibopaaaaaaaaaaaaa viatu vitakusaidia niniii mmxxxxxxxxiiiuuuuu zake alieiba hata kama hayupo humu""!
RAMADAN NJEMA!!!😀😀😀😀😀
 
hebu tundika vijisecurity camera kadhaa hapo nje shosti, vifiche vizuri uwe unafaidi muvi za huko nje wakati wewe unakunywa juice ndani!
 
amin ustaadhat
 
hebu tundika vijisecurity camera kadhaa hapo nje shosti, vifiche vizuri uwe unafaidi muvi za huko nje wakati wewe unakunywa juice ndani!

Ntaweka kimojaa ntakutushia videi ujionee
 
Endelea kuweka nivipitie tena....vile havikunitosha

Si ndio maana nimekuja kukupa taarifaa uje nimekuandalia vinginee mpaka ukajaze duka uuzee teh teh mwambie na ICHANA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom