Wizi usio na faida teh!

Wizi usio na faida teh!

shoo...mgeni nae tu kulalamika..viatu vyenyewe vimevaliwa mpk soli imeisha....Mwizi akaona arudishe tu....hata angeuza kwa mia tano visingenunulika

Keimamayooo sema siwez kurusha picha hapa ningekurushiaaa
 
Usifikirie wizi tuu kama wizi, uswahilini kuna ushirikina pia, watu wanaiba hadi unyayo sembuse viatu ili tuu wafanye yao. Na inawezekana walikulenga wewe sasa wakakosea wakachukua vya mgeni. Hata kuwe na mvua na tope kiasi gani jizoeze kuvulia viatu vyako ndani na wageni hata wakivua nje viingize ndani hata ikiwa pembeni ya mlango ila kwa ndani poa kuliko kuviacha nje ya mlango.
Wkati tuko wadogo tulikuwa na mbwa tena enzi hizo wizi si sana hivo nguo na viatu tulikuwa tuanaacha vinalala nje siku moja kuamka asubuhi viatu vimetafunwa tafunwa na mbwa yaani havifai tangu siku hiyo hatuachi vitu nje, pole lakini kwa kuibiwa viatu vya mgeni na vikarudishwa. Emagine mgeni mngekuwa viatu hamvaliani si ndo anaondoka kavaa ndala tena unafanya kununua kwa mangi au unamnunulia yebo hehehehehee hao walikuwa wadokozi looh
 
Umenichekeshaaa uwiiii dawa nitakua nafunga geti labda waruke juu
 
Kulingana na sheria zetu za sharia huyo kibaka alitakiwa akatwe mkono.
 
Back
Top Bottom