Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Safi sana, lazima watu waovu watangazwe na kujulikana dunia nzimaWizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.
Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.
Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.
Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!
Linki iyo hapo chini
Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion
Zitto
Kipindi kile walipofunga JF watu wengine tulihamia majukwaa ya nje ya nchi kama kenya na kwa kutumia tapatalkUkibana huku wanahamia kule kwa jirani.nibora uwape uhuru wao
huu ni
huu ni uhuni wa zito na genge lake hata yule babake wa kufikia proff asad anajua kuwa wale ni waongo soon sheria ya takwimu itawapeleka kubaya
Mabeberu
Hawawezi Kutusema Kwa Uzuri
Haziwaumi trilion 2.4 zimeyeyuka hewani?Ukibana huku wanahamia kule kwa jirani.nibora uwape uhuru wao
Kwahiyo pesa alizosema CAG hazionekani alimdanganya?tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyew lihuni tuhuu ni
huu ni uhuni wa zito na genge lake hata yule babake wa kufikia proff asad anajua kuwa wale ni waongo soon sheria ya takwimu itawapeleka kubaya
Kwahiyo ni sahihi kwa hizo pesa kupotea?tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hata ruzuku za chadema hazikuumi mpaka uje ukomalie hizi.kipindi hiki cha jpm ukila hata buku unalo
Kweli kbs,kaongeza mishahara na madaraja Kwa mujibu wa sharti la kisheria,sahivi watumishi Wana morali ya juu sana wanapiga kazi,karuhusu uhuru wa kujieleza Kila raia ana amani na nafasi ya kutoa mchango wake bila hofu yoyote ya kutobughudhiwa na vyombo vya dola,tumeshuhudia waliompoteza ben,azory na wauaji wa wale watanzania wanaopatikana kwenye viroba wamechinjwa wamepatikana,tunaona kabisa sasa hivi wananchi hawachangishwi kimya kimya michango ya ujenzi wa madarasa sababu elimu ni bure,tena bure kabisa.yani mengi hakika,wananchi wa kusini wakulima wa koroshow ana furaha isiyo kifani kwani serikali ilishanunua koroshow zao zote hakuna alierudishiwa mzigo wake.yani jiwe yuko juu kbs Mkuu.naunga juhuditunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
kasome upya ww mtoto.hebu pitia wall ya cag then urudi hapa
Wizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.
Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.
Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.
Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!
Linki iyo hapo chini
Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion
Cc Zitto BAK Mag3 JokaKuu Salary Slip
Ofisi ya CAG ni mabeberu kumbe?Mabeberu
Hawawezi Kutusema Kwa Uzuri
Safi sana, lazima watu waovu watangazwe na kujulikana dunia nzima
Naona mnahangaika sana lakini hamtashinda. Hapa Kazi Tu!Wizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.
Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.
Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.
Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!
Linki iyo hapo chini
Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion
Cc Zitto BAK Mag3 JokaKuu Salary Slip
Wewe kweli punguani, hii ni ripoti ya CAG, sasa CAG ameshikwa na nani?? Au hujui kusoma wewe??Mpaka awamu ya pili iishe watazusha kashakula Tr 40. Kote huko ni kushikwa kubaya. Kama amekwapua mbona hamjamuweka kati ya watu matajiri Tz na Africa. Maana sio bilionea ila ni Trilionea.