Wizi, upotevu na ushahidi wa 2.4 Trillion waanikwa na kuchapishwa katika majarida ya kimataifa

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
396
966
Wizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.

Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.

Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.

Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!

Linki iyo hapo chini

Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion

Cc Zitto BAK Mag3 JokaKuu Salary Slip
 
Zitto
Safi sana, lazima watu waovu watangazwe na kujulikana dunia nzima
 
tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali ya marehemu kuliko wewe! Magazeti yanaandika ule ukweli ambao mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali aliouona alafu wewe unasema kwamba tunasemwa vibaya na mabeberu?

Alafu ww hayawani elewa kwamba gazeti hilo limeandika kukusaidia wewe
 
tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo pesa alizosema CAG hazionekani alimdanganya?

Kama alimdanganya kwanini hawakumpinga na kumchukulia sheria?

Mwehu mkubwa wewe
 
tunaojua jins neo colonialism inavyofany kaz katika nchi za ulimwengu watatu hatupat shida, mwacheni jpm afanye kazi , hizo ni propoganda tu za mabepari ,watanzania sujui tunatak nn ,yani elimu.bure, reli ya kisasa, mrad wa kufua umeme , vituo vya afya kila kona vinajengwa na kuboreshwa,angalia hosp ya benjamin m dodoma kwaajili ya wagomjw wa moyo ,tuacheni utani jpm ni level nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ni sahihi kwa hizo pesa kupotea?
 
Kweli kbs,kaongeza mishahara na madaraja Kwa mujibu wa sharti la kisheria,sahivi watumishi Wana morali ya juu sana wanapiga kazi,karuhusu uhuru wa kujieleza Kila raia ana amani na nafasi ya kutoa mchango wake bila hofu yoyote ya kutobughudhiwa na vyombo vya dola,tumeshuhudia waliompoteza ben,azory na wauaji wa wale watanzania wanaopatikana kwenye viroba wamechinjwa wamepatikana,tunaona kabisa sasa hivi wananchi hawachangishwi kimya kimya michango ya ujenzi wa madarasa sababu elimu ni bure,tena bure kabisa.yani mengi hakika,wananchi wa kusini wakulima wa koroshow ana furaha isiyo kifani kwani serikali ilishanunua koroshow zao zote hakuna alierudishiwa mzigo wake.yani jiwe yuko juu kbs Mkuu.naunga juhudi
 
Wizi na upotevu wa kiasi kikubwa cha 2.4 Trillion pesa ya walipa kodi Tanzania imechapishwa katika jarida la Africa Arguments na wameweka kabisa na ushahidi wa ripoti ya CAG.

Wameanza na kuandika alipoingia madarakani alijinasibu kupigana vita na ufisadi na kubana matumizi.

Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa ya walipa kodi namna hii.

Inasikitisha sana. Kuweni na huruma na aibu!

Linki iyo hapo chini

Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion

Cc Zitto BAK Mag3 JokaKuu Salary Slip

Mpaka awamu ya pili iishe watazusha kashakula Tr 40. Kote huko ni kushikwa kubaya. Kama amekwapua mbona hamjamuweka kati ya watu matajiri Tz na Africa. Maana sio bilionea ila ni Trilionea.
 
Naona mnahangaika sana lakini hamtashinda. Hapa Kazi Tu!
 
Mpaka awamu ya pili iishe watazusha kashakula Tr 40. Kote huko ni kushikwa kubaya. Kama amekwapua mbona hamjamuweka kati ya watu matajiri Tz na Africa. Maana sio bilionea ila ni Trilionea.
Wewe kweli punguani, hii ni ripoti ya CAG, sasa CAG ameshikwa na nani?? Au hujui kusoma wewe??
Mwambie Jiwe aseme alikozificha ndio watamweka kwenye listi viongozi majizi.
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom