Wizi unaendelea kutawala serikalini?

Nkarahacha

Member
Oct 3, 2023
9
16
Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.

Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.

FB_IMG_1715870774999.jpg
 
Tena n mijizi sugu kweli kweli!! Si wanaona kizimkazi mwenyewe hayupo Yuko majuu anapiga misele tu uko.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mkuu unataka watumishi wa umma tuendeshe vipi magari na kujanhe majumba na kuhonga totoz bila mishe kama hizi,ukiona mkia unanuka jua kichwa kimeoza
 
Duu km n dhambi bac hii Haina haja yakudhibitishwa kuwa waliojenga hapo hawajatenda haki Kwa wananchi .
FB_IMG_1715871168859.jpg
 
Waliofanya hii kitu inatakiwa wawe nyuma ya nondo bila hata maswali mengi. Haina haja ya kupoteza tena fedha kufanya uchunguzi. Milioni 50 ziko wapi hapa?
IMG_20240517_153345.jpg
 
Back
Top Bottom