Wizi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi mtupu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by cement, Jul 16, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


  Wizi mtupu!

  Girl: Hellow

  Boy: Sweety mambo vip?

  Girl: poa

  Boy: Utakua free weekend hii? Nilikua nataka uje home.

  Girl: Ooh Sorry, sitoweza kuja coz kuna harusi ya Aunt yangu na kesho yake kutakua na wageni nyumbani.

  Boy: kama ni hivo sawa just nilikua nataka nikufanyie surprise, nimekununulia Blackberry Torch

  Girl: ooh!! Usijali mpenz wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala

  Boy: vipi kuhusu harusi??

  Girl: harusi ipi?? Nilikua nakutani honey.

  Boy: ok, na mimi pia nilikua nakutania tu.............
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wonderful and hilarious joke.
   
 3. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Umekosea njia! Ila ni mzuri.
   
Loading...