Hakika kutafuta kuongezea ndo kupoteza hata kile ulicho nacho, tokana na matumizi ya nembo taifa na maelezo mazuri nkajua ntatoka kwa syle ile kumbe ndo natolewa knock out kulizwa tsh.37elfu bila ya matumaini ya dakika45. Sijui ntamlilia nani tena na cm ndo wamefunga
www.savingfoundation.wapka.me/index.xhtml
www.savingfoundation.wapka.me/index.xhtml