pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Wahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo )
Wanaangalia salio za wateja kisha wanafanya mipango ya kuwaibia wateja,
Mimi qamefanikiwa kukwapua 50,000=
Viongozi wa airtel fanyieni kazi ili muukomeahe huu wizi.
Wanaangalia salio za wateja kisha wanafanya mipango ya kuwaibia wateja,
Mimi qamefanikiwa kukwapua 50,000=
Viongozi wa airtel fanyieni kazi ili muukomeahe huu wizi.