Serikali ya CCM haina hela! sasa hivyo ndivyo vyanzo vya kukusanya hela pole yetu hata mimi yameshanikuta sijui hili swala nipeleke Takukuru au wapi! hata hiyo Takukuru wote wezi pia.
Hello pipo,
leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali bonyeza 1 ..... mimi sikubonyeza baada ya kimya cha sekunde kama tatu wakasema sijakuelewa nikaamua kukata simu.
kuna mtu keshapata simu ya namna hii? je ndo wizi moya huo ukishabonyeza 1 uanze ku2miwa ujumbe kila siku na kukatwa hela? ivi sheria inasemaje? TCRA wanatulindaje mobile users?
+25515600-Bonyeza moja kukubali Vodacom Mobile radio!!vodacom swaga music radio,you can listen all the music you want ,haahaaa hiyo ni VAS ya voda, ila sijui inakula shilingi ngapi!! ukipiga 15600 you can listen hiyo music(bongofleva,international music,gospel nakadharika), na mambo mengine!
na hata tigo wana kamchezo hako.....namba yao ni 0713800800
kaa macho mjini kuna mambo
na hata tigo wana kamchezo hako.....namba yao ni 0713800800
mulika wezi