Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
Kwa mfano airtel yatosha kuna kifurushi kimoja nimejiunga nacho jana usiku cha airtel kwenda airtel nikapewa mb 100 pamoja na dakika na sms lakini nikashangaa nilipo download kitu kimoja cha mb saba nikashangaa mb zote 100 zikawa ziimekwisha hali hiyo imekua ikijirudia rudia mara kadhaa hasa upande wa mb ndipo usiku huohuo nikaamua kuwa tolea uvivu kuwauliza kwanini kifurushi kinawahi kuisha ukilinganisha na matumizi wakanijibu nizime simu na kuwasha dhen nitarudishiwa MB zangu cha kushangaza nilipo zima simu nikawasha nikaangalia mb walizoniambia sikuona kitu nikamuua niwapigie tena wale castomer care wakaacha wakapokea lakini hawaongei nikawa namsikia dada mmoja akichati na kwa kuangalia walikua wanatongozana kutokana na nakauli za mahaba nilizo kuwa nazisikia yule dada alipogundua nawasikia akanikatia simu nikajarikupiga tena mara mbili lakini mara zote nikaambiwa ili kuongea na mtoa huduma nikubali kutozwa sh 60 kutoka kwenye akaunt yangu
kwa upande wa voda wameshusha mb za vodacom-vodacom kutoka mb 100 mpaka 50 mb bila taarifa ya mabadiliko hayo kwa wateja wao
pia wanamapungufu mengine ukiacha hayo ya kushusha mb wana mtindo wa kunyonya mb nyingi ukilinganisha na mtumizi mfano juzi nilijiunga na kifurushi cha voda-voda nilidownload camera 360 pekeyake lakin mb zote 50 zikawa zimekwisha this is not fare
nimeandika hapa ili kuwalaani AIRTEL na VODA na kama wewe umekua on the same road kama mimi tuungane ili kutokomeza wizi huu.
TCRA kama bado hajahongwa mtuokoe na majangili hawa tunajua ni kweli wanatafuta faida lakini kwanini wanatuongezea umasikini?