Wizi mpya wa mtandao

Wizi mpya wa mtandao

ndugu weka dau nipeleke sehemu yoyote unayoijua hapa dar nika hack wi-fi, niko tayari kuwa wazi,
nipeleke unapopajua wewe mimi nitahack na hawatajua kama kuna new user.
nimepakua season ya game of throne wiki hii season 1 - ya 8 hd nachagua tu wapi nikae nifanye yangu then hd
nina 2tb nimejaza movies ninapojisikia nafanya yakwangu.
Usibishe usilolijua
Aise !!!
Mkuu em nipe maajuz huko Pm ,,nam pia niwe mwizi
 
Sasa kupakua game of throne ni ujanja?? Wenzako hayo tuliyayafanya miaka ya 2005!
I mean ile ina gb nyingi kwa kila epsod but still nimepakua mwenyewe within a week
Issue usije ukajifanya kusema haiwezekani wakati inawezekana,
kama ulifanya zamani unaweza niambia ni aina gani ya mawimbi yanatumika?
 
Aise !!!

Mke em nipe maajuz huko Pm ,,nam pia niwe mwizi
code tu zinaongea broo
google sana unapata njia moja unakuja nyingine mwisho wasiku unakuwa na njia nyingi
unaelewa aina za nertwork or mawimbi or security zake
then mwisho wa siku unakuwa unatembea tu, ukigoogle mambo kibao yako wazi nita kuattach pdf moja
 
Si lazima ajue no ya siri,akijua no yako tu wanautundu wa kucheza hadi wachukulie Salio.Hata si Salama ukitaka kuuza au kumpa MTU smart phone ni vizuri ukiiondoa screen protector maana imebeba finger prints zako wanachofanya wanaaangalia ni no zipi umekuwa ukizitumia kwa kurudia rudia wanazibahatisha hadi wanawezapata no zako za siri za simu na za bank.Ukiona ni ngumu kutoa screen protector,uwe na tabia za kubadili no za siri kila uuzapo,au ukipoteza simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natilia shaka hiyo njia ya brute force kama inafanya kazi. Maana ukijaribu mara tatu (3) tu na kukosea unafungiwa huduma.

Sababu za kiusalama apps zote nyeti huwekwa hii feature.

Sasa combination ya namba 4 sijui utajaribu mara ngapi hadi upatie.

Wazee wa probability zile Permutation, Combinationa na factorial wataleta majibu.
 
code tu zinaongea broo
google sana unapata njia moja unakuja nyingine mwisho wasiku unakuwa na njia nyingi
unaelewa aina za nertwork or mawimbi or security zake
then mwisho wa siku unakuwa unatembea tu, ukigoogle mambo kibao yako wazi nita kuattach pdf moja

Sawa Nakusubiri Mkuu na hiyo PDF.
 
Kwani ni lazima nitumie iyo App?
Huu ni uongo mnazusha tuu, iko hivi mteja mpya akiwa na smartphone anaelekezwa a download app ya tigopesa ambapo atakuwa anafanya transaction ya miamala ya kifedha bila gharama kupitia tigopesa app. Haya ya kusema unaibiwa pesa na mawakala nakukatalia japo wapo wachache ambao sio waaminifu. Kumbuka mtu awezaye kukuibia pesa ni yule anayejua namba yako ya siri na upo karibu naye

View attachment 857499
 
Wewe naye! Unakataa uwepo wao kisha unasema japo wapo ambao si waaminifu! Mwanasiasa uliyebobea.
 
Back
Top Bottom