Wizi wa fedha kwa njia za kimtandao Tanzania upo sana. Lakini mara nyingi watu hawagundui kilichofanya waibie. Na baadhi ya wezi wanajaribu kuvuruga watu kwa kutoa tahadhari za njia mpya za wizi zenye kujaa uongo ili watu wasigundulie wanavyoibiwa. Tatizo kubwa kabisa linalosababisha wizi ni kuwa watanzania wengi hawako makini! Hili tatizo utaliona kila mahali. Kuanzia kufanya kazi, kuhudumia wateja, kuandika, kutunza siri nk. Huwa nashangaa kweli kweli napoenda kwenye ATM na kuona jinsi watu walivyo wazembe kwenye kutoa fedha. Unakuta foleni ipo karibu kabisa na mashine na watu wanatoa mimacho kama fundi saa. Na mbaya zaidi watoa fedha hawachukui tahadhari. Hii inachangia sana kuvuja namba za siri na wezi kuiba. Na kingine ni watu kuwa waongo. Kuna baadhi wanadanganya wameibiwa ili kukwepa majukumu. Na mwisho ni ushirikiano na wafanyakazi wa kampuni za simu
Sikia kijana usiishi kwa kukalili
Kujua namba ya siri hakukusaidii wewe kuweza kumuibia mtu edha bank au katika simu
Watu mnakutana ATM mmoja wa mbezi mwingine g/mboto Miwngine kibaha Utamwibiaje?
Watu simu zimejaa password utaibaje?
Naona Hapo juu umejitapa kuwa umesoma mambo hayo ila kwa tarifa yako hakuna chuo kinachofundisha hayo mambo
Ila kuna mambo ukisoma ndio yanaweza kukupa msaada namna ya kufanya jambo fulani.
Niliajiliwa kampuni fulani posta wakati fulani
Niliongea na boss kuwa nisimamie Data bundle ya Ofisi
Miezi Sita tulitumia netwok za ofis za jirani hakuna hata mtu ofisni alijua, Ile hela nilikuwa naiweka mfukoni nilipiga sana hela.
Lakini hizo ofisi nerwok zao haa sikuwahi kuziona mashine zao wanazotumia(Router)
Sasa najaribu kukueleza tu kuwa wizi wa kimtandao usifikirie upo kiwepesi kama unavyofikiria hivyo
Hao wanaosajili laini ni njaa zao tu zinawafanya wafanye hivyo na wala sio wote hufanya hivyo maana kupatikana ni rahisi kama wakiamua apatikane sababu anatumia simu.
Kwahiyo acha kukalili wizi upo tena hatari sana kuzidi vile unavyoelewa wewe,
Wateja wa airtel kuna kipindi walilizwa sana nadhani kama mnakumbuka vizuri lakini walijitahidi wadhibiti hilo kwa kubadili mfumo wa kiulinzi tena.
so usiishi kwa kukariri kaka