Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,Maybe uwe mgeni kwenye magar lakin kama ni upo kwenye gari/magar kwa mda uwez ibiwa ata ml100 usigundue
Labda usiwe na bajet mahalum ya mafuta
Unayotakiwa kuweka kila mafuta yanapoisha
Hizo nimetumia ndio mana nimezitaja,hilo tatizo wengi hawajuiKweli kabisa mkuu..af sio kwa gar ulizotaja tu gar yeyote mafuta yakishakua chini ya boya gauge haiwez panda papo hapo lazima itulie ata sc.5 kulingana na ukubwa wa tank ndio mshale ujiguse
Mkuu upo nyuma sana..Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,
Hivi ubajua utakavyoingia "Sheli" leo sivyo utakavyoingia kesho?
Mi nadhani hata kama una uzoefu gani kwa dhsboard zetu za magari huwezi ku-detect wizi wa mafuta yasiyozidi au kufikia robo bana.
Unless uwe unatumia gauge ambazo ni digital zinasoma kwa number na point, na gari hizo bado au ziko chache sana hapa kwetu
Haya bana,Mkuu upo nyuma sana..
Wanaokuibia nawashaur wakazane kabla akili hazijakurud
Kwanzia kesho uwe unawasimamia wahudumu wa shel mamaHaya bana,
Ningependa tufanye test,
Unikabidhi gari yako ukiwa umeweka mafuta kiasi fulani na kukariri geji yako ilipo,
kisha niyapunguze kiasi bila wewe kuwepo wewe uje uniambie kiasi kilichopungua kwa kusoma tena geji yako.
Altenativeely unipe nikakuwekee mafuta kisha uniambie nimeweka ya kiasi gani. Ukifanikiwa kujua nitaamini unachoniambia kua ukiibiwa hata 100Mils utajua
Nawasimamia hata kabla ya kesho,Kwanzia kesho uwe unawasimamia wahudumu wa shel mama
Mh siamini kama kuna mtu ana hiyo accuracy kwenye hizi mita za analogueMaybe uwe mgeni kwenye magar lakin kama ni upo kwenye gari/magar kwa mda uwez ibiwa ata ml100 usigundue
Labda usiwe na bajet mahalum ya mafuta
Unayotakiwa kuweka kila mafuta yanapoisha
Mhhh angalia vizuri lakini aliyeshika pampu anakuwa amekuziba/amekupa mgongo sasa side mirror haina kazi labda ushuke tu ndio dawa
Kama haujaelewa, njoo huku nyuma tunapo kaa sisi tusio na mikebe... tehteehhhSijaelewaa
Ndio maana jamaa kasema ukiibiwa kwa style basi ukapimwe mkojo.Mhhh angalia vizuri lakini aliyeshika pampu anakuwa amekuziba/amekupa mgongo sasa side mirror haina kazi labda ushuke tu ndio dawa
Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,
Hivi ubajua utakavyoingia "Sheli" leo sivyo utakavyoingia kesho?
Mi nadhani hata kama una uzoefu gani kwa dhsboard zetu za magari huwezi ku-detect wizi wa mafuta yasiyozidi au kufikia robo bana.
Unless uwe unatumia gauge ambazo ni digital zinasoma kwa number na point, na gari hizo bado au ziko chache sana hapa kwetu
Ukweli nimemshangaa sana yule jamaa,Kuna watu wakat mwingine wanadhihilisha hawajui wanachosema. Eti huwezi ibiwa ml 100 usijue. Muulize ana gari gani ambali akiibiwa hata nusu lita anajua. Watu kama hawa unaachana nao... Huwa tu wanapenda nao waonekano wamo. Ukiweka mafuta ya 20,000 hata tofaut ya lita moja huwezi igundua hapo hapo. Kwanza gauge huwa sometime it takes some mins kama umeweka kiasi kidogo.isipokuwa kama umeweka mengi ndo inapanda kwa haraka . mtu anakuja kusema eti hata ml 100 utajua umeibiwa? Hizi shule hazijafunguliwa hii likizo ya pasaka?
Mkuu una miliki Gari tuanzie hapo, na ulishaenda kuweka mafuta mara ngapi, na sight mirror kazi gani, au hilo Gari umenunuliwa na Shemeji au mumeo kwa hiyo huna haja ya kufuata matumizi sahihi yaliyopo kwenye vifaa vya gari. Kama umemiliki gari au ni Dereva wa muda huwezi kuibiwa kishamba namna hii. Cha kwanza utaangalia kwenye mashine kama kaandika kiasi sahihi ulichosema then utaangalia kupitia sight mirror kinachoendelea hakuna mtu mjinga wa kuibiwa namna hii.
Mkuu mimi namiliki gari ndio tena gar langu la kwanza nilimiliki nikiwa na miaka25 tena kwa ela yangu hua nikienda sheli hua nafungua mfuniko wa tank na siangaiki na mhudu mimi nacheza na dashboard tu maana najua kama mafuta lita 1 ni bei hii mshale utafika hapa
Usipo fika hapatatosha kwakweli
Sasa nyie endeleen kuibiwa kishamba!
Ukweli nimemshangaa sana yule jamaa,
Mpaka nimewaza anachangamsha tu kijiwe,
Kwanza ukweli ni kua hata hizi "Sheli" zetu Ukiweka mafuta ya Tshs 10,000 kituo kimoja v/s kingine still yanatofautiana japo Miligrams kadhaa, lini yeye alishawahi kushtuka?