Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
Mkuu tuombe radhi.....wengine
hatuingiliki kirahisi hivyo......unakutanaje na watu huwajui unawapa
simu....?.....ofisi za kampuni hazijui.....?...aseme vizuri bana
kapeleka wapi pesa.....alishindwa nini kumpa mumewe simu aweke
internet..?....au na mumewe ndio wale wale.....angekuwa shoga'ngu
ningemzabua.......
Pole sana,mwezi juzi nilikutana na kisanga kama hicho, baada ya kucheza na simu yangu waliweza kudeactivate jina langu la M-pesa a/c,hivyo details zangu zote za m-pesa wakaziua,nilipotumiwa pesa ikaenda kwa mwingine namba ile ile i.e one number two people!
Inasikitisha sana
Sijafaham zaidi inakuwaje mtu unampa sim yako while haina tatizo lolote, mbaya zaidi mtu unakutana nae mtaani tu. Kipindi tunakamata maafisa usalama feki, matrafic feki na asikal feki ilitangazwa kabisa on public now iweje kusiwe na wafanya kazi wa vodacom feki na ile ni private sector. Mnatia hasira sana watu kama nyie.
Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa
***350,000,000***
inawezekana uko voda kitengo cha erolink(customer service).
ni lazima uwe umekuja mjini leo ili uibiwe kwa style hii
Du!!!! poleni sana.. lalini passwords za NMB mobile walitoa wapi??Jana nilipata kisa kimoja kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.
Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.
Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.
Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa kampuni za simu.
vingi? teh tehTatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa