Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Hayo ndo magamba ambayo ccm inabidi ijiue ili yatoke!Mkuu hii ripoti imetoka juzi tu na wewe unasema hizi ni habari za zamani.. tukueleweje?
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Mkuu hii ripoti imetoka juzi tu na wewe unasema hizi ni habari za zamani.. tukueleweje?
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Nina wasiwasi na JK na familia yake walichukua fedha hizo na kufanyia kampeni. Kama sivyo, basi JK achukue hatua kali dhidi ya waliotumia viabaya pesa hizo.RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2010 inasema
5.9 Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kiasi cha Sh.48,000,270,000 kwa ajili ya kuchochea ukuaji wa uchumi
Serikali ililipa kiasi cha Sh. 48,000,270,000 katika Benki Kuu ya Tanzania kama sehemu ya mchango wake wa kuchochea ukuaji wa uchumi ili kukabiliana na msukosuko wa uchumi ulioikumba dunia. Hata hivyo, hatukupatiwa orodha ya walionufaika na fedha hizo za kufidia hasara na kulipia mikopo wala utaratibu utakaotumika kwa wafanyabiashara husika kurejesha fedha hizo pindi hali ya uchumi itakapoimarika. Kwa hali hiyo, nimeshindwa kujiridhisha kuhusu uhalali wa malipo hayo na urejeshwaji wake
utakavyokuwa. CAG – L.S Utouh
Hii si EPA ya pili?
Mkuu hii ripoti imetoka juzi tu na wewe unasema hizi ni habari za zamani.. tukueleweje?
Mmezizungumza na nani? Ufumbuzi wake ni upi? tunataka utuambia mmechukua hatua gani kwa hao mafisadi wenu waliozitafuna pesa hizo maana najua zimeliwa na watu wanaojichubua magamba.Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Tatizo siyo mtoa mada, tatizo lipo kwako wewe unayechanganya madesa. Ripoti iliyopelekwa Rais mwishoni mwa mwezi Machi 2011 na kisha kupelekwa bungeni wiki mbili tu zilizopita wewe unasema mlishaizungumzia zamani. Wapi mlizungumza, UV-CCM, NEC au kwenye CC magamba? Majibu ya kueleweka ni yapi sasa maana wengine hatujapata taarifa hizo?Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
We mwanaGAMBA wewe!Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
.... Pesa iliingizwa kwenye benki moja kubwa ina nembo yake ya rangi ya ccm baadaye ikachomolewa. Magumashi ya kampeni. Tufunge mjadala please. said mwema amchunguze shemeji????mkuu hapa JF hauna hata siku 3, uliizungumzia jukwaa gani?
maendeleo gani yatapatikana ikiwa fedha zinapotea bila maelezo ya kuridhisha..
watu walifungua makampuni asubuhi na jioni wakachukua pesa hizi toka benki............
[I said:Gamba Jipya;1871107]Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.[/I]
Umejiunga hapa Jamii Forums tarehe 17/04/2011 na unasema hiyo habari imeshaongelewa na mliipatia uvumbuzi....wewe na nani, na wapi maana hukuwa hapa jamvini? Kazi kubwa tunayo hapa Tanzania ya kuwa na watu kama nyie mnao chakachuwa habari na kupotosha jamii. Au na wewe ulikuwa mmoja wao nini mliyotafuna pesa ya walipa kodi?