WIZI MITANDAONI

nyembeason

Member
May 4, 2009
44
21
Wizi mpya kwa wasaka kazi wenzangu. Utaomba kazi, kampuni/NGO iliyotangaza kazi hiyo uliyoomba. Watakuambia wamekushortlist kwa INTERVIEW. Kisha watakuambia utume fedha za maandalizi/kuhojiwa-INTERVIEW..au ili wakupe kazi inabidi uhonge kidogo kwa Panelists. Kwa wengine, watakutaka ufanye test, PAR/au competency based test, ambayo watakupa link na watakuambia lazima ufanye test hiyo huko tu. Gharama ya test hiyo ni dola kadhaa, mara nyingi kati ya dola 50-200. Watakupunguzia pia ukililia nao. Watu hao ni wezi tu....kimbia mapema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom