nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Africa Climate Change Resilience Fund ni taasisi (MTANDAO WA WEZI-NON EXISTING) feki, ya kitapeli. Ukiomba fedha kwao, watakuomba utume 'dola 100 ' processing fee ya fedha unayoomba'. Kwa wanaojua funds/fedha za miradi zilivyo haingii akilini utume dola 100, kisha hao watu wake wakupe dola 50,000 mpaka laki moja ZA MRADI. Huu ni wizi/UTAPELI. Epukeni hawa matapeli.
Vivyo hivyo, kwa kazi wanazotangaza, wanakudai fedha. Watakuambia UFANYE TEST ONLINE, WATAKULINK NA SEHEMU FEKI YA KUFANYA HIYO TEST. Huko utadaiwa fedha za paper hiyo ya online. Kifupi ni wezi, matapeli. Kuweni makeni wadau.
KUWENI MAKINI WASAKA AJIRA/FUNDS.
mfano wa kazi inayotangazwa: Receptionist in Dar Es Salaam | ZoomTanzania
WEZI WENGINE WANAITWA CLIMATE OF AFRICA...WANATUMIA MTINDO HUU HUU WA WIZI WA ONLINE WA KUTANGAZA KAZI/FUNDS
Mfano wa kazi zao za kiwizi: Regional Coordinator Jobs at Climate of Africa Arusha | Jobs in Tanzania