Wizi Mabibo Hostel

Wizi Mabibo Hostel

Mwaka jana pale block F ninarafiki yangu aliibiwa laptop ikiwa na dissertation yake na mbaya zaidi hakuisevu sehemu nyingine.Hakuweza kugraduate na sisi mwaka jana ndio anamaliza mwaka huu.ILA ASILIMIA KUBWA YA WEZI PALE WANAUFAHAMU MKUBWA NA MAZINGIRA YA PALE HOSTELI.
 
dah pole yake mkuu yan alirudishwa maili mia nyuma.....leo hii ukikutana na mtu aloibeba nadhan unaweza kuua
 
Hapo mabibo miaka ya mwanzoni paliwah kuwa na jamaa fulani hivi ana kigugumizi (Oswald) akijitambulisha anasomea uhandisi.

Siku ya siku alikutwa na furushi la nguo za ukwe e na baada ya 'kuhojiwa' ikabainika wala si mwanafunzi na kibaka aliekubuhu. Ajabu alikua amebebwa na mtu 'unknowingly'.

Btw.... mabibo hostel imechakaa sana. Well zaidi ya sana. Hivi, wamepiga hata rangi karibuni?
Huyo Oswad ndo yule wa chemical and processing engineering? Maana namfahamu toka miaka ya 2001 alikuww anakuja sana ARU ni mweusi na ana lafudhi ya kichaga. Miaka ya 2006 nilikutana naye utawala akadai kuna somo alikamatwa na hivyo kurudia mwaka. Na ana kigugumizi kikali kweli labda kama sio yeye
 
Ndiye mkuu. Alikua anajidai kusoma huko... ajabu alikua hana kigugumizi akiimba. Hasa kwaya!!

Alikua na mwili Mdogomdogo sometimes anavaa miwani. Akihadithia kitu utaskia "yaani mimi oswald mimi...." kwa lafudhi ya kichagga as you correctly say
 
Haya ni matokeo yakuishi kwa nguvu ya mkopo,inatakiwa mmoja atolewe kafara
 
Mimi nakumbuka mwaka jana semester ya pili..Waliniibia king'amuzi na wengine wakaibiwa simu
Tulicheki World cup room daah wazee waka"Tombesha funguo" then wakafanya yao
 
Ndiye mkuu. Alikua anajidai kusoma huko... ajabu alikua hana kigugumizi akiimba. Hasa kwaya!!

Alikua na mwili Mdogomdogo sometimes anavaa miwani. Akihadithia kitu utaskia "yaani mimi oswald mimi...." kwa lafudhi ya kichagga as you correctly say

Ndo huyo huyo alikuwa ana girl friend ARU bahati nzuri yule dada alimpiga chini na kuolewa na mtu mwingine!!!! Yaani kila siku alikuwa anakuja ARU hasa hostel ya wanawake labda alikuwa anakuja kuiba pia
 
Wangeweka utaratibu wa kuonesha ID hapo getini maana hata asiye mwanachuo anaingia na kutoka muda wowote bila hata ya kuulizwa.Wengine mablazamen wanafuata madem zao,wengine wanafuata rafiki zao, wengine ma x-collegers wanakuja kutembea lakini wengine wezi wanatumia advantage hiyo ya kutokukaguliwa kuingia na kubeba wanachotaka.
 
Ndo huyo huyo alikuwa ana girl friend ARU bahati nzuri yule dada alimpiga chini na kuolewa na mtu mwingine!!!! Yaani kila siku alikuwa anakuja ARU hasa hostel ya wanawake labda alikuwa anakuja kuiba pia

Ndo maana ARU hostel za kinadada wizi ilikua jadi. Na alikua nao wengi tu mkuu hasa main campus. Tongoza yake ndo ilikuaga sheeedah...

Mwenyewe akimspot demu anamfata (hasa kwenye vimbweta ndo ilikua speciality yake), anashusha kibegi, anatoa 'vitabu' anaanza kubukua nae! (Hata discussion alikua anamudu na mtu wa kozi yoyote hakyanani!)

Anatafuta fursa anaanzisha stori zingine. Sasa kile kigugumiz mademu walikua wanamuonea huruma balaa.... ilikua akianza mtongozo anakizidisha maksudi! Inafkia pwenti demu anamwambia "usiteseke tena Oswald, mimekuelewa unachotaka". 'Kwa furaha', oswald anamuimbia kwaya!

Jamaa alikua 'smart' kiukweli.
 
Tehe tehe teeeee mjini shule
 
Unapiga hatua moja mbele unarudishwa tano nyuma...watanzania tuwe na utu jmn kununua pc cyo kitoto unajinyima vngi alafu mtu anachkua kirahsi tu
 
Ndo maana ARU hostel za kinadada wizi ilikua jadi. Na alikua nao wengi tu mkuu hasa main campus. Tongoza yake ndo ilikuaga sheeedah...

Mwenyewe akimspot demu anamfata (hasa kwenye vimbweta ndo ilikua speciality yake), anashusha kibegi, anatoa 'vitabu' anaanza kubukua nae! (Hata discussion alikua anamudu na mtu wa kozi yoyote hakyanani!)

Anatafuta fursa anaanzisha stori zingine. Sasa kile kigugumiz mademu walikua wanamuonea huruma balaa.... ilikua akianza mtongozo anakizidisha maksudi! Inafkia pwenti demu anamwambia "usiteseke tena Oswald, mimekuelewa unachotaka". 'Kwa furaha', oswald anamuimbia kwaya!

Jamaa alikua 'smart' kiukweli.

Umenivunja mbavu
 
Palipo na mkusanyiko wa watu zaidi ya kumi, huwa kuna kuwa na watu wenye tabia mbalimbali...cha msingi nyie wenyewe wana rum je mko safi wote? Kama wote hamna tabia ya wizi kuibiwa inakuwa nadra sana....kuhusu nguo ndugu jitahidi km umeanika nzuri nzuri zilinde. Mi nili ishi hapo bibo..kutokana na ushirikiano tuliokuwa nao wana rum, hatukuwahi kuibiwa...ila wali sahau kuna siku walikusanya nguo yangu moja na zao....nilipo kuwa nimeifua. Lakini hatukuwahi kuibiwa.....
 
karibu mabibo, karibu shato pori... hapo bado, subiri kaboom kakate ndo utajua wizi ni nini
Hapo wizi ni hatari sana.mie waliiba nguo zingali mbichi kwenye kamba, nikiwa block F.
 
Umenikumbusha enzi zangu Mzumbe sitasahau.. Siku hyo nilianika nguo zangu karibu zote.

Walahi wajanja wakaanua zote

nikabaki na shati na suruali niliyovaaaa

noma sana

mwanafunzi wa chuo kikuu anaiba hadi nguo

vp akipewa ofisi kama ya TANESCO au BoT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom