Wizi Mabibo Hostel

Wizi Mabibo Hostel

Miye najiuliza,
wezi wanapotoka na pc & nguo pale getini,
wale kaka zangu auxiliary_police wanakuwa wapi?

Au wao kazi yao kukamata pair za wanachuo mida ya 00:00+ pale parking,
&
wanaomwaga maji dirishani tu?!
 
Habari wana JF...currently kuna wizi mkubwa sana huku mabibo, weekendi hii nilianika nguo zangu na viatu ile inapita nusu saa tu wadau washapita nazo, na leo best yangu kaibiwa begi lilikua na pc, atm card na 30,000.

Nilikua najiuliza kuhusu hao wanaofanya huu wizi ni wanachuo au ni kikundi fulani cha raia ambao sio wanachuo? kiukweli inaboa yan wazazi wangu wameuza mashamba waninunulie pc inisaidie kupga msuli leo hii mtu anakuja kuibeba?

asee nina hasira !

Polen sana wadau. Jarbuni kuongeza umakin kam hali si shwarii
 
Habari wana JF...currently kuna wizi mkubwa sana huku mabibo, weekendi hii nilianika nguo zangu na viatu ile inapita nusu saa tu wadau washapita nazo, na leo best yangu kaibiwa begi lilikua na pc, atm card na 30,000.

Nilikua najiuliza kuhusu hao wanaofanya huu wizi ni wanachuo au ni kikundi fulani cha raia ambao sio wanachuo? kiukweli inaboa yan wazazi wangu wameuza mashamba waninunulie pc inisaidie kupga msuli leo hii mtu anakuja kuibeba?

asee nina hasira !
yote mwachie mungu, atakujalia zaid ya hayo binadamu wabaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom