Mbinu mpya inayotumiaka kukamata wezi " Unapoenda mahali unapohisi kuna wezi basi jaribu kuongozana na mtu mwingine halafu ashuke kabla ya mwisho wa safari na aendelea kutembea kwa miguu kukufuata ulipo wakati huo huo wewe ukiwa tayari umeshuka katika gari. Huyo uliyemshusha atakupigia simu ikiwa wezi watavamia gari lako na utachukua hatua muafaka. Kwa mtindo huu tumekamata wezi eneo fulani hapa mjini. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.
Hii nimeipenda nashukuru kwa hii mbinuMbinu mpya inayotumiaka kukamata wezi " Unapoenda mahali unapohisi kuna wezi basi jaribu kuongozana na mtu mwingine halafu ashuke kabla ya mwisho wa safari na aendelea kutembea kwa miguu kukufuata ulipo wakati huo huo wewe ukiwa tayari umeshuka katika gari. Huyo uliyemshusha atakupigia simu ikiwa wezi watavamia gari lako na utachukua hatua muafaka. Kwa mtindo huu tumekamata wezi eneo fulani hapa mjini. Kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM.
Na umuwekee tinted kali! Manake wataogopa kuchungulia ndani incase kuna mtu.
Fuga Cobra, mweke kwenye gari, mwizi akiingia tu, ANA KAMERUNIWA
Ulitaka nao wakale wapi. Lazma tugawane umaskini wetu.
Pole sana.