Wizi kichaa (Kleptomania)

Wizi kichaa (Kleptomania)

Me glass za bar nilikuwa nazikomeshaa kwelii lkn maajabuu hazikuwa zikidumuu nkuwa najikuta nazipasua tuu mwenyewe kwa bahati mbaya hadi zinaishaa semaa chupa za biaa mpaka sasa zipoo Kama kreti tano au sita hvii
 
Unajua ni kwa nini? Vitu vingi vya bar lazima vipitie kwa sangoma yani kama kuna washirikina wamiliki wa bar wanaongoza
 
baadhi ya watalii hasa kutoka taifa la Italy wana tabia hii ya kuchukua au kuiba vitu vidogo vidogo vya hotelini au kwa wenyeji wao ( kweli ule ni ugojwa)

Ah! Waitalia ni noma kuna siku niko lounge hoteli moja hapa mjini basi nikawaona waitalia kama wanne hivi mmojawapo akawa anachukua mara toothstick kila meza anaweka kwenye begi lake, mwingine anachukua ashtray nae hivo hivo! Nilistaajabu sana.
 
Kuna hotel wanaweka miswaki, dawa ya meno, toilet ppr na sabuni. Siku ukicheck out ukaondoka navyo huo nao ni wizi mdogomdogo?
 
Kuna hotel wanaweka miswaki, dawa ya meno, toilet ppr na sabuni. Siku ukicheck out ukaondoka navyo huo nao ni wizi mdogomdogo?

Inategemea kachukua kiasi gani ni tofauti na kubeba flat screen au meza au godoro
 
Kuna mtaalam nilimsikia mwaka flani akilielezea hili. Anasema mgonjwa wa aina hiyo kile kitendo cha kufanikiwa kuiba muda huo raha anayoipata ni kama mtu aliyefikia mshindo (kukojoa).
 
Kuna mtaalam nilimsikia mwaka flani akilielezea hili. Anasema mgonjwa wa aina hiyo kile kitendo cha kufanikiwa kuiba muda huo raha anayoipata ni kama mtu aliyefikia mshindo (kukojoa).

Daadek! Mkuu sio chai hii kweli?
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
shop-lift.jpg
 
Back
Top Bottom