Msemakweli2020
New Member
- Jan 21, 2020
- 1
- 2
Nimecheka sana ila umeongea pointMkuu hata hapo ulipo tu UMESHINDWA kujituma kufikia level za huyo meneja ndo maana umekimbilia huku!!
Leo ni siku ya kazi na mda huu ulipaswa uwe unatimiza wajibu wako hapo ofisini kwako ila we unautumia mda wako kuingia mitandaoni kuandika majungu!!
We endelea tu kuna watu wengi Sana pia wanainyemelea nafasi yako kama we unavyoitolea udenda nafasi ya meneja wako!
Karibu tulime matikiti huku hakuna mambo ya ubaguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkonoLazima sisi watanzania tujiulize kwanini kampuni nyingi wanatukwepa badala ya kulalamika maana hakuna kampuni inataka kuingia gharama ikiwa wanaweza kuajiri kwa bei ndogo. Kenya Airways sio wao tu nenda kote huko kwa kina Mo au Azam sehemu muhimu wameshika wageni na mimi sitaki kuwalaumu sababu na amini kuajiri wa bongo kuna changamoto sisemi wote ila tukubali tunatizo. Uaminifu mdogo sana tukianza kuiba basi tunaiba mpaka mtaji wenzetu wanaiba lakini sehemu ya faida. Si tunaona airport zidisha kilo kidogo ukitoa chochote mzigo umepita huo ndio ukweli acha huku mijini watu wanaiba sana ni kuzidiana tu nani anaiba zaidi ila hatuaminiki ukweli mchungu.
Nanii wa Ile kampuni flanihata sisi tulikua na mmoja hapa ofisini kwetu kaondoka juzi na bado nasikia anataka kurudi
'ukizingatia mshahara ni mdogo kupitiliza'
Mshahara mdogo kupitiliza ndio unaanzia sh. Ngapi boss?
dodge
Nenda ATCL USIUMIZE KICHWA KILA SHIRIKA.LINA SHERIA ZAKEKenya Airways Tanzania imekuwa na foreign staff kwa zaidi ya miaka sita akifanya kazi ambayo Watanzania wanaweza kuifanya kikamilifu, ambayo si ya kitaaluma (non expert), staff hawajafanyawa review ya mshahara kwa zaidi ya miaka kumi (10).
Hakuna gratuity hata kwa staff waliokaa kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka mitano. Salary na benefits gap kati ya wageni na Watanzania ni kubwa kupita kiasi, wageni wanapewa allowance while kwa Watanzania wanasema ziko consolidated ukizingatia mshahara ni mdogo kupitiliza.
Meneja wa Kenya Airways Tanzania airport ambaye ni Mkenya amekuwa akitumia nguvu nyingi kuhakikisha ame-renew mkataka kwa miaka sita sasa, pamoja kwamba amekuwa akiwekewa pingamizi mara nyingi, amekuwa akitumia hata njia siziso halali mradi tu apate permit ya kuendelea kufanya kazi Tanzania, anatumia nafasi yake kuwagawa staff kiubaguzi na kuchagua wachache ambao wana serve interest yake kwa kuwa nao karibu na kuwapa benefits ambazo wengine hawapati.
Sent using Jamii Forums mobile app