Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Wizara ya nishati imeitisha wahariri wote mpaka wa michezo kufika Mtwara kwa ujira wa posho nono ya 1milioni kwa siku Ili wasaidie kuficha uchafu wa wizara hiyo kwa mikataba ya kifisadi, ufisadi wa tenda za mafuta mazito pamoja na moto wa escrow
Bajeti ya mafuta mazito ambayo yanagizwa bila uwazi inafikia 1trilioni kwa mwaka wakati kamati ya bajeti inadai bunge lilipitisha 300bn zaidi ya 700bn ni manunuzi kwa vi MEMO
Bajeti ya mafuta mazito ambayo yanagizwa bila uwazi inafikia 1trilioni kwa mwaka wakati kamati ya bajeti inadai bunge lilipitisha 300bn zaidi ya 700bn ni manunuzi kwa vi MEMO