The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,139
- Thread starter
- #21
Kiukweli wewe ni taahira,umeelewa mada?Kamati ya Bunge ya Nishati ilitutangazia bungeni kuwa Mradi umechelewa, juzi tumeambiwa umefikia asilimia 67 kutoka 53.25 ya Disemba 2021 sasa leo ni Agosti 2022 karibu mwaka mzima unaambiwa imeongezeka asilimia 14 alafu unaleta ngonjera zako hapa