Absolutely on point !! And the Vicious Cycle will go on & on.......... till they come to their senses !!Mwigulu sera zake ni kumnyonya Mwananchi wa chini. Inshort maskini ataendelea kuwa masikini na Tajiri kuwa Tajiri sana. Walishawaona Watanzania wajinga na ni wajinga kweli kweli. Hivi watanzania wangegomea hizi kodi kwa maandamano makubwa kabisa. Nakuambia hizi tozo zisingekuwepo.
some years ago i came to realise that most of loyal tax payers are public servants and mid-economy citizens. So all bullshits concern them. It's just normal that wealth and rich people will try in one or other way to escape these, and It's common.Mwigulu sera zake ni kumnyonya Mwananchi wa chini. Inshort maskini ataendelea kuwa masikini na Tajiri kuwa Tajiri sana. Walishawaona Watanzania wajinga na ni wajinga kweli kweli. Hivi watanzania wangegomea hizi kodi kwa maandamano makubwa kabisa. Nakuambia hizi tozo zisingekuwepo.
This happens when your propositions were high than what you are about to deliver. 😂Inawezekana huko serikalini ndio wamepata namna ya kufidia zile nakisi za bajeti zinazojitokeza kila mara huko wizarani.
Hizi tozo mwanzo walikuwa wanatuambia mapato ni ngapi na matumizi yake yatakwenda wapi, siku hizi kimya, japo wanazidi kuzikusanya tu, sijui wana mipango gani ya siri hawa watu.
Hizi pesa wanazokusanya ni nyingi, siamini kama hazitoshelezi mahitaji wanayozipangia, mimi naona kuna ujanja ujanja tu hapa, hasa nikiona muhusika mkuu sasa anamiliki timu ya mpira wa miguu ligi kuu, japo akiulizwa anakataa anasema yeye ni "mdau" tu.This happens when your propositions were high than what you are about to deliver. [emoji23]
Akiwanyonya anazioeleka Burundi au?Mwigulu sera zake ni kumnyonya Mwananchi wa chini. Inshort maskini ataendelea kuwa masikini na Tajiri kuwa Tajiri sana. Walishawaona Watanzania wajinga na ni wajinga kweli kweli. Hivi watanzania wangegomea hizi kodi kwa maandamano makubwa kabisa. Nakuambia hizi tozo zisingekuwepo.