Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

Hivi jitu kama manumba unahongwa ka malaya wa kiume unaonona unavyojidhlilisha we na familia yako?
 
Mie NIMEWASHTUKUIA! Wanataka kuhamisha hoja hawa! Waziri, DCI wanajua wanachofanya! Kama Mponda anajua Manumba ANADANGANYA, UKWELI anaojua yeye mbona hautoi? Ripoti ya Apollo si iko kwake? Mie hapa "nimenusa kapaka". Nna wasiwasi na safari ya Mwakiwembe huko India! Je, yaweza kuwa "The last Safari to Pagak"? (Kwa wale waliosoma Song of Lawino)!

Jomba naombA nikuunge mkono statement yako,Umeona mbali sana.India is one of the most corrupted country I spent 3yrs huko.Hawa jamaA unweza kukuta wakina so called Manumba wamemuandaliA mazingira yakummaliza kabisi kipindi hiki akienda huko Appolo.He has to be very carefull,kwani TEGO linaweza kuwa hapo hapo hospitali anapoenda likammaliza kabisa.MUNGU amlinde
 
Sijui walisoma wapi hawa management styles!
Maana haiwezekani watu wa familia moja mkawa na matamko Lukuki!
Poorly organised!
 
nadhani itafikia kipindi hakutakuwa na kuaminiana tena TZ,kila mtu atamuogopa mwenzie.ni hatari tuombe Neema ya Mungu.
 
MANUMBA CAN YOU PUT IT CLEAR TO REDUCE CONTRADICTION BETWEEN YOU PEOPLE?
Ni ngumu sana kuona wakubwa mnalumbana kwa title zenu zinazoheshimika sana, Watoto wenu sijui wanawasoma je. Ni juzi tu suala la posho za wabunge limeteka akili za watu mpaka aibu wakubwa wanapingana kauli, Na sasa tena Police na Serikali kuna malumbano tena yasiyo ya kawaida kuhusu Mwakiembe, Hii aibu ya uongozi usio makini kwenye kauli utaisha lini?? We are Tired now
 
Ndilo hili hili jeshi la polisi ambapo lori lilipojaribu kuhusisha ajali ili Mwakyembe afie kwenye ajali, walikurupuka na kusema ''rim'' za gari la Mwakyembe zilikuwa za 'aluminium' ndiyo sababu gari ikapata ajali. Hivyo, yule polisi mkuu wa magari akatoa mpya, kwamba 'rims' za 'aluminium' hazifai na magari yasiwe yanazitumia. Jamani; hivi wengine bado wanaogopa umande? au sisi wote watanzania tunaonekana kama watu wasio na akili, yaani tupotupo tu, kama mazenzeta. Ukilishwa ugoro unameza tu, wala usitake kujua lingine. Hiki kizazi cha tanzania kitakuja kutemewa mate na wajukuu wajao
 
hivi hatuwezi kubinafsisha JESHI la POLISIi?si tukawapa hata SUMA JKT GUARDS?KK SECURITY?KOMESHA SECURITY?N.K
 
Mwakyembe anakufa taratibu mtakubaliana na mimi kuwa mwakyembe kwa asili ni mweusi,kama watu wa magharibi ya afrika lakini amegeuka kuwa kama albino saizi,halafu mtu anakurupuka kama kaptura iliyokatika mpira wa kiunoni kusema hajalishwa sumu nini hicho sasa?Taarifa hii ameipata kutoka kwa madaktari wa india au tanzania manumba?mbona sasa tulipofikia nchi yetu hakuna ofisi ambayo unaweza kusema walau UKAPELEKA shida yako/malalamiko ukatendewa hakhi,zote zimeozaa.Eee Mungu Kikombe Hiki(kuchapana makonde) Tanzania lazima tukinywe,ukitaka waweza kutuepusha
 
Nitatizo la kujisahau, hawajitambui nani ni nani .
Ubinafsi umetawala . Kila mtu anaona anaweza kuiongelea serikali au chombo furani bila kuangalia madhara yake.

Na hizi simple justifications ndio basi tena, mtu anajustify chochote aonavyo kina mfaa yeye.

Tuna safari ndefu sana wa TZ

Mabadiliko ya hili Taifa yanaanza na mimi na wewe haya twende kazi!
 
kiongozi yeyote hasa akiwa mwanajeshi halafu hajiamini mi ananikera sana,yani manumba keshajiona hana sifa za kupanda cheo kuwa IGP bila mbeleko ya lowassa??piga kazi mzee achana na lowassa atakupoteza kama alivyopotea yeye!huo u IGP Mnaoaidiana vichochoroni ni kujidanganya

Nashangaa sana, huyu jamaa na yeye ni muhanga wa hizo ahadi za vichocholoni. Naona anataka kulipa kisasi kwa wengine baada ya kumshindwa msanii the great. Asiposikia huyu shauri lake but mwisho wa siku atatukumbuka tu kuwa tulimwambia.
 
SCREW 'EM! Serikali moja, chama kimoja, utawala mmoja lakini wanafanya kazi utadhani nchi ya wagagagigikoko na wale wa mgonenagonago!

Rais hajui anachosema Wazrii Mkuu, Waziri Mkuu hajui anachosema Rais, Spika hajui Rais alisema nini, Waziri hajui Waziri mwenzie amesema nini! Sijui wakiingiaga kwenye hivyo vikao vyao wanafanyaje kwa kweli!

Hawa nahisi huwa wanaulizana " ...kaka hio pamba uliopiga ya wap....?....Cheki mkuu leo alivyolipuka, kile kitu cha Italy, orijino...." ...

Hahaha... Poor Tanganyika + Zanzibar ...
 
Manumba aliwahi kuficha report ya polisi kuhusu watu waliofukiwa mgodi wa Bulyamkulu huyo polisi ni noma..
 
Haya mashambulizi yote dhidi ya Manumba; mnafikiri ana uchaguzi wa nini afanye au aseme? Kama ilivyo kwa nyadhfa nzito ndani ya CCM na serikali yake, hapo alipofikia (DCI) panafikika na kudumishwa kwa kukubali kutumika kishenzi - kwake yule asiye na "uzito" maalum ndani ya jamii ya watawala. Umeshamsikia bosi wake (IGP) akitoa kauli au kujihusisha na masuala tata ya kisiasa? Au ona jinsi WM anavyojikanyagakanyaga kwenye masuala nyeti kama taahira vile ilhali wenye misiba yao wako kimyaaa!
 
Wana jamii mwenendo wa jeshi la polisikupitia kurugenzi ya makosa ya jinai na upelelezi chini ya DCI manumba unaviashiriavya idara hii nyeti kutekwa na mafisadi na hivyo kufanya kazi kwa manufaa yamafisadi hao. Kitendo cha DCI manumba kutokuwa na nia ya dhati kuyafanyia kazimalalamiko ya Dr. Mwakyembe juu ya watu waliokuwa wanamfuatilia kwa lengo lakumuua na tukio la majuzi ambapo DCI huyo ametoa taarifa ya uongo juu ya chanzomaradhi yanayomsumbua Dr. Mwakyemba kinaashilia kuwa ofisa huyu mwandamizi wapolisi yumo kwenye payroll ya mafisadi.
Nawaomba wanajamii watujuze ukwasi (malizinazomilikiwa na DCI Manumba ili tuweze kujua kama unalingana na utumishi wakendani ya jeshi la polisi
 
Back
Top Bottom