Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

kumbuka statement ya bosi wake said mwema aliposema mafisadi si wakuchezea wakifuatiliwa bila tahadhari nchi itayumba sasa ulitegemea nini kwa dci kutoa majibu simple kwa maswali magumu
 
Wana jamii mwenendo wa jeshi la polisikupitia kurugenzi ya makosa ya jinai na upelelezi chini ya DCI manumba unaviashiriavya idara hii nyeti kutekwa na mafisadi na hivyo kufanya kazi kwa manufaa yamafisadi hao. Kitendo cha DCI manumba kutokuwa na nia ya dhati kuyafanyia kazimalalamiko ya Dr. Mwakyembe juu ya watu waliokuwa wanamfuatilia kwa lengo lakumuua na tukio la majuzi ambapo DCI huyo ametoa taarifa ya uongo juu ya chanzomaradhi yanayomsumbua Dr. Mwakyemba kinaashilia kuwa ofisa huyu mwandamizi wapolisi yumo kwenye payroll ya mafisadi.
Nawaomba wanajamii watujuze ukwasi (malizinazomilikiwa na DCI Manumba ili tuweze kujua kama unalingana na utumishi wakendani ya jeshi la polisi

Hakuna tuliposoma Manumba kuelezea chanzo cha maradhi ya Mwakyembe kama kuna sehemu umesoma tunaomba tuwekee hapa ili nasi tuone kasema nini kuhusu hicho chanzo cha maradhi ya Mwakyembe.

Ukishindwa kuweka, utakuwa wewe ndio muongo tena wa kutupa. Haya tuaminishe kuwa wewe ni mkweli na tusikuite Chauongo. Kazi kwako.

inaashilia = inaashiria. (courtesy FF).
 
Mkuu Makyomwango nakubaliana na wewe kwamba jeshi letu la Polisi lina matatizo ya utendaji inapokuja issue ya watawala lakini nadhani kwa hii ya Mwakyembe nadhani tusitumie jazba,kama busara na hekima itatuongoza tutafikia ktk hitimisho la ukweli.
 
diyo shida ya kuongozwa na mkuu anayekesha makaburi muda mwingi wa utawala wake!
 
Back
Top Bottom