Wizara ya afya mnatuchanganya!!

Wizara ya afya mnatuchanganya!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,783
Kwa anayejua namna ya kupata barua za kujiunga na vyuo vya uganga( admission letter) tafadhali anifahamishe maana wizara walisema hawatatuma tena kupitia masanduku ya posta na badala yake watayaweka kwenye mtandao!!

Masomo yanaanza tarehe 3 Novemba lakini cha ajabu mpaka sasa hatujapata hizo admission letter tujue nini tunachotakiwa kufanya ikiwemo na maandalizi!!

Vyuo vyenyewe vipo mikoani hivyo inakuwa ngumu kujiandaa na kuripoti kwa wakati!!

Wakuu kwa anayeweza kujua utaratibu uko vipi tafadhali nahitaji msaada!!

Mods naomba usiuhamishe huu uzi ili niweze kupata msaada tafadhali..

Utaratibu nikwamba angalia jina lako kama lipo kwenye orodha ya waliochaguliwa, tazama jina la chuo ulichopangiwa, kariport hivyo hivyo. majina yote yameshatumwa kwenye chuo husika na wizara.

Thanks !!

shukrani mkuu lakini ikumbukwe hatujui hata ada ni kiasi gani, sare zinakuwaje na mambo mengine mengi muhimu ambayo yampasa mwanafunzi kuyajua kabla ya kuripoti chuoni.

Kuna shida hapa!!

Back
Top Bottom