Wizara toeni salamu za Pole kwa Iran kwa kumpoteza Kiongozi Khamenei

Wizara toeni salamu za Pole kwa Iran kwa kumpoteza Kiongozi Khamenei

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,103
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
 
Bakwata wanajiandaa kutoa tamko la kulaani USA na Israel 😂

Naona Allah akbaru amekula kona kuwasaidia kobaz wake
 
Undugu na waarabu umeanza lini mkuu?
 
Hatimaye ardhi ya wakristu imerudi baada ya kuporwa na kuendeshwa kwa tamaduni kandamizi za kiarabu Kwa muda mwingi. Nchi nzima wananchi wanafurahia kutoka kwenye utumwa wa sheria za kizamani za mwarabu. Sasa hivi wanawake wanatupa masanda waliokuwa wameviringishwa na wanaume eti wasionekane wazuri
 
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
sio lazima na kabisa sio muhimu,
salamu iliyotolewa pale ubalozini kwao inatosha gentleman
 
Back
Top Bottom