nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Hivi UK ulipotokea ugonjwa wa ng'ombe walifanyaje vile?????
walichotaka kuzuia ni tabia mbaya ya kutumia njia za panya...Wangetupa hvy vipimo km kwel hvy vifaranga vingekua na mafua ya ndege
Kwahiyo viumbe hai tu warudishwe? Je sheria inasema viumbe hai warudishwe?
Hiyo ni moja ya sababu lkn pia Tanzania imepiga marufuku vifaranga kuingia nchini for good yaani hata kibali hakipatikani so justification ya kuvichoma ni kubwa kwao.
Hawakuvipima.
Sehemu walipochomewa vifaranga ilikuwa ya kivicho...
Hahahhaha nimecheka sanaaKuna Kuku wa Jiran naona anaingia sana kwenye himaya yangu sitaki lawama ntatumia sheria namba 17 wa sheria ya wanyama ya mwaka 2003 Kudili na haka kandege
Linalozungumziwa ni njia ya ukatili iliyotumika. Wewe unafananiza kuchoma moto kwa LOTION na kuchoma moto ROHO ya mnyama? Ikiwa unaweza kuchoma moto mnyama basi mtu huyu haoni tabu kuchoma moto binadamu mwenzake. Wangewapulizia gas tu basi hata mimi ningewapa ushirikiano wangu. Lakini kwa ile slow cruel death, it's worse than terrorrism! Tuombe Mungu awape hekima kwa maamuzi yajayo!Wizara iko sahihi ,Kuhusu bidhaa zisizo na ubora kama zimethibitika na mamlaka husika zinapigwa chini, mbona tunaùchoma vifaa fake vingi kutoka nje? ni mara ngapi vitu vimepatikana airport au bandari tena macontainer yanakamatwa na yanachomwa moto? je huwa tuna ugomvi na hizo nchi ambazo watanzania wamenunua bidhaa hizo? tatizo tumekubali kujenga undugu usio na tija na nchi jirani hivyo kupelekea kushindwa kusema hapana hata kwa mambo yasio na msingi, tukipata chickenpox ndo tutajua ni kwa nini serikali inakataza hao vifaranga.
Kikubwa ambacho kitaleta stability kati yetu na nchi zote za jirani, ni serikali ya Tanzania kuanza kutenga maeneo maalum kwa ajiri ya kuchungia mifugo hasa kwa wananchi wanaoishi maeno ya mipakani au karibu na mipakani.
hakika mkuu ule ni ukatili wa hali juu kabisa,sasa kama maafisa mifugo waetu wana roho zile,je hao polisi wet watakuwaje? No wonder maiti kwenye viroba zinaokotwa kila leoLinalozungumziwa ni njia ya ukatili iliyotumika. Wewe unafananiza kuchoma moto kwa LOTION na kuchoma moto ROHO ya mnyama? Ikiwa unaweza kuchoma moto mnyama basi mtu huyu haoni tabu kuchoma moto binadamu mwenzake. Wangewapulizia gas tu basi hata mimi ningewapa ushirikiano wangu. Lakini kwa ile slow cruel death, it's worse than terrorrism! Tuombe Mungu awape hekima kwa maamuzi yajayo!
Amesema wao wamechoma mbali na makazi ya watu Ila kuna baadhi wasiowaaminifu ndo walipiga picha na ni makosahivi kulikuwa na haja ya kuvichoma kikatili mbele ya kamera!!!!
Yap.Ok ,kwa hiyo walitumia hisia kuvichoma ...
gesi ya sumu hasa carborn dioxide,pellets bullets,baada ya hapo ndio wanachoma moto ili kuzuia maambukizi,ila wizara yetu haikutuambia kuwa Kenya kuna avian bird fluu!!Huko wanatumia njia gan mkuu hebu tueleze
So hatua waliyochukua ya kuhakikisha hawaingii nchini ni sahihi sema taratibu ndio walikoseagesi ya sumu hasa carborn dioxide,pellets bullets,baada ya hapo ndio wanachoma moto ili kuzuia maambukizi,ila wizara yetu haikutuambia kuwa Kenya kuna avian bird fluu!!
Huelewi, unadhani ni kukomoana. Vifaranga wakiingia na ugonjwa kama wa ukoma su anthrax wanaweza wakapukutika Watanzania wote, au kuku wote, au mimea yote. Wewe unashangaa kuchoma moto, ulishaona ugonjwa wa ukoma? Au wa nagana? Tatizo mnaangalia mambo juujuu. Kama sheria inasema wachome ujue hiyo ni sheria ya FAO, ya kimataifa.Kama sheria ni kupiga moto kila kitu kinachoingia kwa magendo zile range rover pale bandarini na vichwa vya treni kwanini hatujavipiga moto
Vilipimwa vikakutwa na ugonjwa? Tarakea kule kuku anakula kenya analala Tanzania umewahi kusikia wanamafua?Huelewi, unadhani ni kukomoana. Vifaranga wakiingia na ugonjwa kama wa ukoma su anthrax wanaweza wakapukutika Watanzania wote, au kuku wote, au mimea yote. Wewe unashangaa kuchoma moto, ulishaona ugonjwa wa ukoma? Au wa nagana? Tatizo mnaangalia mambo juujuu. Kama sheria inasema wachome ujue hiyo ni sheria ya FAO, ya kimataifa.