Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,933
- 13,944
Umeona sasa!? Kwa sababu wameisha tengeneza mtazamo juu yako kuwa unatafta attention yao tuLeo ndo nakumbuka maneno yako mkuu
Sasa hivi nikileta uzi wa maana hauchangiwi, wakijitahidi sana wanaanzisha conversations za kujuliana hali na kupoteana kwenye uzi wangu wa kuomba ushauri kuhusu maumivu ya jino

