Usioombee Ukutwe na Kupatwa Kwa Penzi!!! Dada wa mjini mikononi mwa mpiga picha. Khaaaaaa!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
Igweeeeeeeeeeeeeeee!

Msione niko kimya sio kwamba simo nimo ila napita shaaaa. Afu dogo Eddy Love jiangalie sana, nakuona unavonia andama.

BACK TO TOPIC.

Ujue mjini ukiishi kwa kanuni hupati tabuuuu. Mwanaume akizingua unatupa kule. Mibuzi kibao. Mapenzi hayakuumizi kichwa kabisaaa. Mtu akidengua atajiju na kuji jjjjj. Huyu akiwa hana hela wenzie wanazo watamsaidia. Stress free life. Usiingie tu tamaa useme uzae na mmoja sijui aje ushaharibu equilbrium yoteeee.

Sasa dada wa mjini shoga angu mie, namjuaaaa miaka nenda rudi. Hanaga stress. Ana watu wake wa maana wanamuweka mjini leo kesho, kesho kutwa. Na ana kazi yake nzuri. Sio mshamba wa mapenzi kabisaaa. Kama mabwana wa maana nyota hio ishamngaria akawapata wakatibuana hivo hivo.

Afu mtu wa standards vibaya mnooo hafanyi exceptions hata iwejeee. Kuna siku nikawa namwambia bwana cousin wangu anakuhitaji mtoke, akaniuliza ana gari gani???? Khaaaaaa! Nikamwambia mi sijui bwana. Cousin wangu nae nunda, kaenda kuchukua gari ya mzee wake kumuimpress tu akamla afu basi. Akamblock kwenye simu. Khaaaaa! Mambo ya mjini hapaaa!

Mi nikawa namliwaza nikaona kama kafanyiwa injustice na cruel men system, akaniambia heeeeee, pole ya nini? Hakunikopaaaaa! Eeeeeeh? Hakunikopa, he is not that bad, alilipia vaccation Mombasa, akagharamia kila kitu, na alinipa 300,000 ya kurudi nayo. Sio kwamba hanitaki im too expensive for him. Achana nae, we wont be in 20s forever mi nakula vichwa vingine. Mmmmmmmh! Nikajua hili nundaaaa, tena nundaaa kweli kweli. Khaaaaaaaaa! Toka siku hio nikawa namchukulia mkubwa mwenzangu na jua hachezi ligi za kombe la mbuzi.

Sasa miezi kadhaa iliopita kuna shoga etu akawa anafanya photo shoot dukani kwake. Nikamwambia nipe lift shoga angu, huwezi jua unaweza kukopeshwa nguoza malaki huko embu twende. Tukawa tumeenda. Sasa kukawa na mpiga picha, mtoto mdogo tu. Sio mdogo hivoooo labda wako sawa au kamzidi mwaka ila kimaisha mdogo sanaa. Ana ofisi yake, anapiga piga picha za watu. Ofisi msidhani labda kubwa sijui ana watu, no, wako na mwenzie wamechanga. Wanabangaiza tu.

Afu mpiga picha mwenyewe sio elekezi wala nini useme show stopper, kawaida sanaaa. Ila ana mapozi pozi flani amaizing akiwa kazini. Mi nikawa namtania mimi sina hela tu ila ningekuwa na hela hiki kitoto nakifuga kwa raha zangu. Afu kinaonekana mambo kinayawezaaaa. Afu kipolee, kimezubaaaaa. Akawa ana support kweli kabisa ile kazi.

Baadae nikaghairi, hivi vitoto tumwachie Wema Sepetu ndo anaviwezaaa. Vinasumbuaaaa, eeeeeh! Unaweza data mambo mnafanya ndani kesho unayakuta insta. Hahaaaa! Havina stara kabisaaa. Siku umejisahau kunyoa, unakuta kimepost status mwanamke mazingira. Hahaaaaaa! Tukawa tunachekaaa tu. Bwana weee kufuga mabwana kipaji.

Basi dogo ana adabu hatariii. Akatuaga pale. Akasema chukueni namba yangu mkiwa na event au mizigo yenu ikifika nitawafanyia bei poa. Hahaaaaa! Mi nikajua imeishia hapo mweeeeee! Siku ya siku kwenye kamati ya harusi ya mshikaji wetu anakomaa tenda ya picha apewe dogo. Mi nikawa wa kwanza kupinga. Akaniita chemba mbona unamfanyia fitina dogo. Nikamwambia bwana wee hii life time event ya mtu, sio nguo leo una hizi kesho una mpyaaa hata zikipigwa vibaya poa tu. Akawa kamoaa hana hoja, mi nikamkazia.

Baadae ananimbia bwana usinicheke lakini, mwenzio natoka na dogooooo! Mmmmmmmh! Nikashangaaa. Nikajua deiwakaaa tu kama ya Treysongs na Vee money. Labda kamuelewa dogo, maisha yanapita haya akaona apige deiwakaa. Nikampigia tantalilaakapewa ile kazi.

Sasa mtu jioni hasomeki saa 12 tukitoka tu mzigoni anawahi nyumbani, tukisema tukanywe hataki atasingizia sina hela, kimepanda kimeshuka, kunywa sisi tunanunua hataki pia, ana umwa kichwa. Mradi yupo busy. Tukamuachaaa mtu mzima bwana atajijua mwenyewe.

Jiji dogo hili, nikaja kupata ubuyu wa shilawadu mwenzio siku hizi yuko na kazi ila kazi ya wasiwasi hatariii. Inavosemekanaa lakini hio kazi inapiga picha. Na ameielewa hatariiiiii. Nikaingia kwenye chemba la msengenyooo. Eeeeh! So hio kazi wako serious au umewaona mara moja au mbili! Akasema wanapika na kupakuaaaa! Na bidaa akitoka jioni lazima yani lazima umkute ofisini kwa Bae. Na gari ya bi dada anaonekana nayo Bae mara kibaoooo.

Mmmmmmhhhh! Nikasema huu ubuyu feki, shosti namjua KUBWA LA MAADUI, hawa hawamjui ndo maana chumvi nyingi. Nikawa sijamuuliza. Siku ya siku mwenyewe kaja kunidhibitishiaa bwana usije kusikia kwa watu mi dogo niko nae like seriously. Nikamwambia info zishasambaa mbona. Nikamwambia unachunwa shogaaaa yangu.

Akawa defensive you dont know him, so dont judge. Nikamwambia shoga unachunwaaa mchana kweupeeeee. Basi ndo kuthibitisha kwamba dogo hamchuni hata 10 ndo kwanza anamuhudumia. Mmmmmmh! Ndio. Kodi ilikuwa imeisha kalipa dogo, luku, mafuta anajaza dogo, gas, kila kitu. And he is so nice blah blah blah! Nikajua anamsitiri tuuuuu. Itafahamika.

Nikaja kusikia kwa shosti yule mwenye dukaa, ananilaumu wewe shoga yako amemgandaa yule kaka mwenzie analalamika, hela zote ana mkabidhi yeye. Kaka wa watu anakufa retina kwa kupiga picha kufinance lifestyle ya yule. Sijui nini na nini. Juzi katoka kumlipia kodi ya mwaka. Mafuta anajaza yeye, kila kitu anamhudumia afu mtu anafanya kazi sio fair. Mi nalaumiwaaaa. Khaaaaaaaa! Nikajua kumbe shosti alikuwa hamsitiri ni kweli. Zungumza nae, kijana ana future nzuri yeye anamharibia.

Mi nikamkalisha shoga nina tuhuma zako. Akazisikizaa zote na kunisutaa, we si ulisema mi nachunwaaaaa? Hahahaaaaa! Nikamwambia sikia nikwambie sisi binadamu hatukosi la kusema. Mnataka asinihudumie mseme namfugaaa? Looooh! Huku na huku akakubali kuwa anajali sanaa mineno yetu. Mi nikamwambia just be happy on your own. Si kuongea ndo burudani yetu, leo, kesho.

Mpaka hapo anaonesha mtu wa msimamo wake, anajielewa be nice to him. Sio vile analipia basi ndo unamkamuaaaaa. Usha save sanaaa, miaka kibao umechunaaa, una asset kibao, cash, it is about time you retire. Treat him well, be happy. Mkijipanga hapo mnatoka tu. We una hela unaweza mkopesha mkagiza equipment China, mkafungua ofisi kubwa tu, inawezekanaaaa, manake mtu ana msimamo.

Akakomaa wanaume hawana guaranteeeee hawa. Nikamwambia hamnaa, he makes you happy, be happy mpaka hapo mtakapoishia utajua utaratibu mwingine mda huo ukifika. Usiache kuwa na furaha leo kisa una expect majanga ya mwakani au 2 yrs to come. Akawa ana mashaka.

Mpaka story hii naiingiza mtamboni demu ana mimba ya mpiga picha yule. Biashara imekuwa family business. And she is so happy! Bado ana mashaka huenda kesho akiamka kama alikuwa anaotaaaa. Hajaamini. Wanaume walivomsumbuaaaa kuja kupata mwanaume wa maana kirahisiiiii. Alihamdullilah! Basi vile umezoea mikikiiii, anakagua simuuuuu, huenda anachepuka sijui nini, anakuta walaaa mabo yake yako waziii katulia hatari, simu anampa akae nayo. Mmmmh! Akahisi yeye mkubwa, kuja kuona cheti mkaka mkubwa kwa 2 yrs sema tu alichelewa shule. Yani anatafutiza sababu za kuwa insecure.

Ni mimi Igwe wenu kutoka mitamboni.
 
woow! greater....penz penzina.haswa ukimpata anayejua kupenda kweli.hongera yake b shosti!
 
Mi napenda uandishi wako tu...
 
Hivi Lara1 hizi story ni fiction ama ni reality? tusije tukawa tunaonesha sympathy kwenye matukio nadharia.

Kwenye post zako kuna mambo ambayo ni common kuyaona kama:

1.Main character ni shoga yako.
2.Victim ni mwanaume
3.Shoga yako ni imara kwenye kuwinda wanaume wenye pesa na hafanyagi makosa.
4.Lengo kubwa la hadithi zako ni juu ya biashara ya kuuza Maku kwa bei kubwa(sijui ni za dhahabu?)

Dah! tuachane na hayo, mwenye namba ya M-Pesa ya yule Mama aliyeimba 'wajinga ndio waliwao' anitumie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom