PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
- Thread starter
- #61
Broda,Kwanza nitaangalia ni dizaini gani ya jamaa amemleta..............then nitajua nini cha kufanya.
Kitu ambacho sisi wazazi tunaoverlook ni hiki; Kuwa hadi binti anamleta Jamaa nyumbani, je ameshakuwa naye toka lini...hatujui hapo, yaani kwa hilo tunakuwa mapompompo!
Sasa unamkataa jama wakati ana miaka 3 na binti yako, matokeo binti anakamata ujauzito ule wa kukinga kwa makusudi ili akukomoe!
Mwisho wa siku unakua huna jinsi zaidi ya kuwakubalia wakaishi pamoja!
So tunapowakataa wacchumba wa wanetu tunapaswa kuwa na jicho la 3 la utambuzi!