Wivu unanimaliza!

Wivu unanimaliza!

Kubwa ni kuwa umejua tatizo.
Na binti anajitahid kukuenda hivyo hivyo ulivyo so kubadilika ni rahisi!
.kuwa na kampani zaidi ya huyo bidada
.tafuta vitu tofauti vya kufanya
.jiambie kuwa hata ukimchunga kama mgongwaji atapiiiiigwa tu kengele
.kubali kuwa wivu si alama ya kupenda ni a lama ya kutokujiamini kuwa unapendwa
.acha kufikiri mpenzio ni wa hivyo.mpe nafasi ya kukuprove wrong

Angalizo!
Kama mpka we we mwenyewe umefikia hatua ya kujisemea sipati picha huyo bidada anapita kwny hali gain
Msaidie utoke hapo.ili juhudi zake za kujikana ziwe na thamani!
 
Kubwa ni kuwa umejua tatizo.
Na binti anajitahid kukuenda hivyo hivyo ulivyo so kubadilika ni rahisi!
.kuwa na kampani zaidi ya huyo bidada
.tafuta vitu tofauti vya kufanya
.jiambie kuwa hata ukimchunga kama mgongwaji atapiiiiigwa tu kengele
.kubali kuwa wivu si alama ya kupenda ni a lama ya kutokujiamini kuwa unapendwa
.acha kufikiri mpenzio ni wa hivyo.mpe nafasi ya kukuprove wrong

Angalizo!
Kama mpka we we mwenyewe umefikia hatua ya kujisemea sipati picha huyo bidada anapita kwny hali gain
Msaidie utoke hapo.ili juhudi zake za kujikana ziwe na thamani!

Nashukuru sana kwa mchango wako pia
 
Wewe una insecurities. Na zinasababishwa na past life yako labda umeshakimbiwa au kutelekezwa na mzazi au mpenzi zaman
 
Habari wana MMU,

Wakuu hebu naombeni mawazo namna ya kupunguza kuwa na wivu, seriously nimechoka na nahisi hili ni tatizo kubwa si kwangu tu bali hata kwa mpenz wangu. Hajawah kuniambia moja kwa moja but I can feel it namnyima furaha sana.

Natamani ajiskie namuamini sana, tatizo linakuja kila ninapojaribu hata kumuacha tu atoke na wafanyakazi wenzake kwa jinsi nitakavyoteseka kwa hayo masaa machache anaweza kunikuta nishakufa kabisa hivyo huwa naona bora nisogee tu hilo eneo hata nimuone kwa mbali. Kuna siku nlikuwa nae kwenye gari ghafla ule wimbo wa 'Kuchapiwa ni siri ya ndani' ukapigwa redioni yani kile kitendo cha yeye kuufatiza tu ule wimbo nikajikuta nimegonga gari iliyokuwa mbele yangu kwa mshtuko.

Analijua tatizo langu na anajitahidi sana kuishi ninavyotaka na najua ananivumila sana, amepunguza sana marafiki kwa ajili yangu, hata kwenye groups hz za wasap kajitoa, fb ndio hata ile app tu kwenye sim yake haipo tena na hata akitaka kuingia anaingia kwa sim yangu.

Kilichonifanya nije kwenu ni baada jana usiku kumgombeza kwa kupigiwa simu na mwanaume akimtakia usiku mwema ilikuwa sa tatu tu usiku, hata sijui ilikuwaje lkn nikajikuta nishaanza kulalama, alisema sorry na kisha akampigia sim huyo jamaa na kumwambia asirudie tena kumpigia simu usiku.

Nimejiskia vibaya sana baada ya yeye kufanya hivyo, japokuwa bado naonyesha ukauzu bt deep inside nimenyong'onyea mbaya kabisa. Najiona mwanaume nisie na shukrani kabisa.

I really want to change nipunguze tu kidogo nibakie na kale ka wivu ka kumuonyesha najali, tatizo sijui cha kufanya pia sijui ntawezaje.

Please wana MMU nisaidien mawazo mrudishe furaha ya mrembo wa watu na amani ya moyo wangu. Nimeeleza kwa kirefu ili at least muone ukubwa wa tatizo, michango ya aina zote inakaribishwa.

Yani una tatizo kama langu,hata mimi sijui nifanye..pole sana.
 
Yani una tatizo kama langu,hata mimi sijui nifanye..pole sana.

Soma tu kwa makini na kuchagua ushauri unaoona utakufaa hapo. Nimefarijika kuona kuona kumbe si mimi tu ninayeteseka namna hii
 
Soma tu kwa makini na kuchagua ushauri unaoona utakufaa hapo. Nimefarijika kuona kuona kumbe si mimi tu ninayeteseka namna hii

Nimesoma ,sometimes nawaza maybe nijaribu counselling(sina uhakika na spelling),labda imetokana na experience za nyuma kwenye relationship nilizokua nazo! Now nafikiria hata niachane nae coz namnyima uhuru and sitaki kua selfish
 
Urefu dah, unataka warefu kwenda chini waninange?

Usihofu mdada, ni mrefu kiasi cha kuwa na confidence about 5.9ft. To be honest sina tatizo lolote la kimaumbile, nina maisha ya kawaida ya kunipa confidence popote nnaopokuwa niko smart kiasi (si mtu kujipenda sanaaaa), yani kwa haraka huwezi kujua naweza kuwa na hicho mnachoita inferiority.......na bado siamini kwamba tatizo ni sijiamini. Nimeanza pia kulifikiria kwa kina ila sioni mahali nnapokosa kujiamini.
 
Mi napenda mtu mwenye wivu....
Evelyn wewe hujui wivu,siku ukikutana naye mwenye wivu hutamtaka tena,mimi kuna jamaa yangu yeye mke akirudi ni kukimbilia kumvua chupi mkewe na kumkagua,oooh mbona leo uchi wako umelowa mara mbona leo mkavu basi ni kero na karaha ndani ya nyumba yao.
 
aisee kweli biblia ilisema kweli wivu una nguvu kama mauti. mkuu make sure silaha zikae mbali nawe maana unaweza jikuta umekurupuka umechukuwa silaha na kumdhuru mwenzako maana hapo ulipofikia ni hatari. kitu cha kwanza mrudishie mke wako vyote ulivyomnyima maana asije kuwa anafanya kwa siri maana hana uhuru navyo. mimi binafsi naaminiki kila kitu ni katika maombi. mtwishe Yesu(if your a Christian) fadhaa zako. sijui kama kuna dawa ya kuondoa wivu (natural/inborn attitude) zaidi ya kuamini mke wako au mme wako ni mwaminifu. ila fanya hivi achana kufuatilia simu zake au issue nyingine unazodhani kuwa ni source ya kukufanya uwe na wivu
 
Wewe una insecurities. Na zinasababishwa na past life yako labda umeshakimbiwa au kutelekezwa na mzazi au mpenzi zaman

huyu atakuwa anadate mtoto mkareeee halafu yeye mwenyewe ndio vile tena. si unajua?
 
kwa kuwa umeshajua unatatizo hilo basi ni we kuchukua hatua tu kwamba nooo more wivu though itampa maswali mengi san binti kichwani.... la pili jiweke bussy na mambo mengine ili upate mda mchache wa kumwaza yeye tu... akikwambia anatoka out na wewe tafuta la kufanya instead ya kumfuata nyuma kama mlizi... alafu kwa maisha hayo utachapiwa mpaka ukome kwa sababu atakuwa anafanya awezalo kukuficha wewe wakati analiwa sehemu za ajabu ili ytu usijue acha hizo wewe...... afu utakufa haraka hivi ni nini?
 
Back
Top Bottom