Wivu unanimaliza!

Wivu unanimaliza!

Mkuu namna ya kufika huko ndio kazi. Kuna wakati nahisi huyu mwanamke atanichoka kabisa anikimbie

hapo uko sawa kabisa.....sasa cha kufanya kuwa busy na wanaume wenzio....fikiria issue za kimaendeleo kwa ajili yenu zitakukeep busy kwa namna fulani. Usimfatilia maongezi yake ya simu, ridhika kwamba ni kwa kwako peke yako... (reality ni the opposite),,,that way itakuounguzia mzigo maana sasa huo sio wivu ni gubu, kwani ulimkuta bikra?
 
Hilo mkuu ni tatizo la kutembea njia kuu peke yake. Mawazo yapo sehemu moja. Michepuko ina faida atii
 
Share nae unachohisi bro ili ajue unalifahamu tatizo lako na kua unalifanyia kazi! Its ok kuomba input yake pia haitakufanya mwanme nusu, lakini itakufanya uonyeshe kua unajali feelings zake!
 
Sina cha kufanya, nimemuelewesha nimechoka, angekuwa just boyfriend ningekuwa nshaondoka, ila ni mchumba wangu so kuachana ni process...!
Ila inakera, sina uhuru, nalazimika kuwa muongo ili mambo yaende, kwa kifupi sina raha....imagine mtu ana password zangu kuanzia ya email, fb, atm card, anakagua phonebook mpaka call logs achilia mbali sms......Inachoshaaa!

Kwa hiyo umeamua kukubali kuteseka hivyo hata kwenye ndoa??? Au unahisi mkishaona kuna wakati atazoea atapunguza mwenyewe?? Ni wakati gani unaamini ikifika hapo hutaweza kuendelea nae tena???
 
Mkuu namna ya kufika huko ndio kazi. Kuna wakati nahisi huyu mwanamke atanichoka kabisa anikimbie

Na kweli jihadhari, being overprotective inaweza kukuletea shida siku moja. Utaacha kumpenda na kuanza kumlinda tu na hapo ndipo utapochapiwa sasa.

Ukiwa na mwanamke ni changamoto, tena akiwa mzuri sana na anafanya shughuli zake ni changamoto kubwa zaidi, usipokuwa makini utashindwa hata kufanya kazi kutwa kuchwa unawaza ni namna gani utamlinda.... speaking from experience
 
Hahhaha hujawahi kutendwa wewe,siku ukitendwa utaelewa,no matter how much u try to hold and control some1 akiwa na yake moyoni huwezi jua,learn to let go,and get a life..kama ipo ipo tu,work to change urself,not the other person...
 
Zorrander........nderrrrrrrr,,,,,,hahahahahahahaaa,,, maana ya hii avata name yako ni nn?....kumbe hata hujamuwowa!!!! acha hizo bana,,,,,wewe ndo ulimb...ki..ri au ulikuwa mlango una nyanyo za alietangulia???? kwa hali yako huyo si wako...soon atadakwa na wenye mahabat yenye nidhamu......utampunguziaje marafiki,,, ulimzaa ww???
Uwe unapitia bar upate hata baridi,,,,,mwache awe pekee,,,jichanganye na friends....ukishindwa kasomee upadre tuu.....maana naona kama gereza linakuchungulia bro....
 
Aaah kuna raha bana asikuambie mtu
napendaga zaidi ile napigiwa simu "upo wapi? Rudi nyumbani upesi"
nawaacha mashost konyagi mezani huyoooo nduki nyumbani.

umeona eeeh!! Evelyn Salt.......yani raha sana hata miye huwa naenjoy vibaya yani natamani kila saa niulizwe ulizwe tu
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh!! Evelyn Salt.......yani raha sana hata miye huwa naenjoy vibaya yani natamani kila saa niulizwe ulizwe tu

[h=2]What is domestic and intimate partner violence?[/h]Domestic violence is when one person in a relationship purposely hurts another person physically or emotionally. Domestic violence is also called intimate partner violence because it often is caused by a husband, ex-husband, boyfriend, or ex-boyfriend. Women also can be abusers.
People of all races, education levels, and ages experience domestic abuse. In the United States, more than 5 million women are abused by an intimate partner each year.
Domestic violence includes:

  • Physical abuse like hitting, shoving, kicking, biting, or throwing things
  • Emotional abuse like yelling, controlling what you do, or threatening to cause serious problems for you
  • Sexual abuse like forcing you to do something sexual you don't want to do

Emotional Abuse ndio inayowahusu zaidi na mwenzio Evelyn Salt

[h=1]Emotional abuse[/h]More information on emotional abuseYou may feel like if you're not being hurt physically, you are not being abused. But attempts to scare, isolate, or control you also are abuse. They can affect your physical and emotional well-being. And they often are a sign that physical abuse will follow.
You may be experiencing emotional abuse if someone:

  • Monitors what you're doing all the time
  • Unfairly accuses you of being unfaithful all the time
  • Prevents or discourages you from seeing friends or family
  • Tries to stop you from going to work or school
  • Gets angry in a way that is frightening to you
  • Controls how you spend your money
  • Humiliates you in front of others
  • Threatens to hurt you or people you care about
  • Threatens to harm himself or herself when upset with you
  • Says things like, "If I can't have you then no one can."
  • Decides things for you that you should decide (like what to wear or eat)


Goodluck!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom