Wivu unanimaliza!

Wivu unanimaliza!

Wewe unataka kufanana bwana wa rafiki yangu ambae ni Mume wa mtu,namchunga rafiki yangu kama nini,hata tukitoka outing mnashtukizia yupo hapo na yeye,kilichonishangaza ni kumkagua rafiki yangu sehemu za siri atokapo mahali,au kwenda kwa rafiki yangu ghafla na kukagua nyayo hadi uvunguni,kingine ni kusikiliza kwa loud speaker rafiki yangu akiongea na sisi,na muda wote huwa na rafiki yangu hata mke hana nafasi,huu ni ugonjwa unaoitwa Obssession!
Habari wana MMU,

Wakuu hebu naombeni mawazo namna ya kupunguza kuwa na wivu, seriously nimechoka na nahisi hili ni tatizo kubwa si kwangu tu bali hata kwa mpenz wangu. Hajawah kuniambia moja kwa moja but I can feel it namnyima furaha sana.

Natamani ajiskie namuamini sana, tatizo linakuja kila ninapojaribu hata kumuacha tu atoke na wafanyakazi wenzake kwa jinsi nitakavyoteseka kwa hayo masaa machache anaweza kunikuta nishakufa kabisa hivyo huwa naona bora nisogee tu hilo eneo hata nimuone kwa mbali. Kuna siku nlikuwa nae kwenye gari ghafla ule wimbo wa 'Kuchapiwa ni siri ya ndani' ukapigwa redioni yani kile kitendo cha yeye kuufatiza tu ule wimbo nikajikuta nimegonga gari iliyokuwa mbele yangu kwa mshtuko.

Analijua tatizo langu na anajitahidi sana kuishi ninavyotaka na najua ananivumila sana, amepunguza sana marafiki kwa ajili yangu, hata kwenye groups hz za wasap kajitoa, fb ndio hata ile app tu kwenye sim yake haipo tena na hata akitaka kuingia anaingia kwa sim yangu.

Kilichonifanya nije kwenu ni baada jana usiku kumgombeza kwa kupigiwa simu na mwanaume akimtakia usiku mwema ilikuwa sa tatu tu usiku, hata sijui ilikuwaje lkn nikajikuta nishaanza kulalama, alisema sorry na kisha akampigia sim huyo jamaa na kumwambia asirudie tena kumpigia simu usiku.

Nimejiskia vibaya sana baada ya yeye kufanya hivyo, japokuwa bado naonyesha ukauzu bt deep inside nimenyong'onyea mbaya kabisa. Najiona mwanaume nisie na shukrani kabisa.

I really want to change nipunguze tu kidogo nibakie na kale ka wivu ka kumuonyesha najali, tatizo sijui cha kufanya pia sijui ntawezaje.

Please wana MMU nisaidien mawazo mrudishe furaha ya mrembo wa watu na amani ya moyo wangu. Nimeeleza kwa kirefu ili at least muone ukubwa wa tatizo, michango ya aina zote inakaribishwa.
 
[h=2]What is domestic and intimate partner violence?[/h]Domestic violence is when one person in a relationship purposely hurts another person physically or emotionally. Domestic violence is also called intimate partner violence because it often is caused by a husband, ex-husband, boyfriend, or ex-boyfriend. Women also can be abusers.
People of all races, education levels, and ages experience domestic abuse. In the United States, more than 5 million women are abused by an intimate partner each year.
Domestic violence includes:

  • Physical abuse like hitting, shoving, kicking, biting, or throwing things
  • Emotional abuse like yelling, controlling what you do, or threatening to cause serious problems for you
  • Sexual abuse like forcing you to do something sexual you don't want to do

Emotional Abuse ndio inayowahusu zaidi na mwenzio Evelyn Salt

[h=1]Emotional abuse[/h]More information on emotional abuseYou may feel like if you're not being hurt physically, you are not being abused. But attempts to scare, isolate, or control you also are abuse. They can affect your physical and emotional well-being. And they often are a sign that physical abuse will follow.
You may be experiencing emotional abuse if someone:

  • Monitors what you're doing all the time
  • Unfairly accuses you of being unfaithful all the time
  • Prevents or discourages you from seeing friends or family
  • Tries to stop you from going to work or school
  • Gets angry in a way that is frightening to you
  • Controls how you spend your money
  • Humiliates you in front of others
  • Threatens to hurt you or people you care about
  • Threatens to harm himself or herself when upset with you
  • Says things like, "If I can't have you then no one can."
  • Decides things for you that you should decide (like what to wear or eat)


Goodluck!

Mmmhhhh!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhh!!!

Hauko peke yako Mkuu. Nitumie ujumbe mdogo mkuu wa kukubali. Nitakupa ushauri mzuri and very Discreet. Kuna maswali magumu ya kibinafsi nitakuuliza lakini natumaini tutafanikiwa.
 
mi nahisi huyo mpenzi wako atakua na tiba halisi,mtafute sehemu tulivu mwende mkae mkumbushane good times ununue na zawad,afu mwambie hili tatizo kwa namna ulivyosema hapa !you will solve this problem together!

KULA "LIKE" X90000000! What a nice advice! Tatizo siku zote linahitaji ushirikishwaji wa namna kama hii ulioeleza. I like your good strategy!congrats
 
Raha ya kuonewa wivu.............huyo anayekuonea wivu awe mwaminifu ........
 
Jitahidi uache

Dawa ni kunuamini mwenzio

Na nikujibu kama mwanamke, hakuna kitu kinachoudhi na kujera kama mwanaume asiyejiamini na kujawa wivu

Ipo siku atachoka

Maana anajihidi kuwa mtumwa sasa

Atachoka maana unamchosha hata kisaikolojia, hawezi kuwa na marafiki
Hawezi kuhang na watu tofauti
Hawezi fanya lokotr kukuhofia wewe

Atachoka

Na atakuacha

Control yourself

Na njia kuu ninkumuamini

Na ujiamini mwenyewe
 
Sijui, labda nimekulia kwenye mfumo dume kiasi kwamba umeathiri jinsi yangu ya kutizama mambo, (masculine culture).
Mwanamme mzembe mzembe na mdiplomasia sana ntamzarau. Napenda mtu analinda mipaka yake, nakasirika na kununa, ila kimapenzi zaidi.

Kongosho hebu nipe siri ya kupenda kufanyiwa hivyo........
 
ni vyema kwa kuwa unajitambua kuwa wivu ulio nao ni tatizo, ni hatua nzuri. vinginevyo,huu uzi angekuwa ameleta huyo mke wako tungemshauri namna zaidi ya kuishi nawe ukiwa na hicho kiwango cha wivu. jaribu kuwa na imani kuwa mke hafanyi upuuzi wa aina hiyo.
 
Mi napenda mtu mwenye wivu....

wivu unatofautiana,upo wivu unaoweza kuimarisha penzi lakn mwingine ni majanga, can u imagine kufuatisha wimbo tu keshagonga,vp akikuta linambusu lijamaa alilosoma nalo kipindi kile enzi hizo..........?
 
Sijui, labda nimekulia kwenye mfumo dume kiasi kwamba umeathiri jinsi yangu ya kutizama mambo, (masculine culture).
Mwanamme mzembe mzembe na mdiplomasia sana ntamzarau. Napenda mtu analinda mipaka yake, nakasirika na kununa, ila kimapenzi zaidi.

aiseeeh!!!!!!!!! kumbe mpo wengi.
 
Mkuu tatizo dogo sana hilo, hata mimi nilikuwa nalo lakini baadaye liliisha, cha msingi fanya hivi.

Kipindi akiwa anatoka na marafiki zake, paka pilipili machoni itakusaidia kutokufikiria mabaya juu yake na badala yake utakuwa busy kusikilizia utamu jichoni, maumivu yakiisha atakuwa kasharudi.

NB: Maumivu ya macho hayauwi, ila ya moyo yatakuua.

hahahaha aiseee we noma
 
Back
Top Bottom