Wivu mbaya jamani

Wivu mbaya jamani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,352
Reaction score
38,702
Dada mmoja jana analalamika ndoa yake ngumu sana mumewe anambana mpaka penalti nikamwambia mpe kona ajaribu embu sikiliza wivu wenyewe binti aliaga anakwenda songea kweli kaenda Songea.

Akiwa chumbani akapigiwa simu na mumewe maongezi kama yafutayo;

Mume: Mkewangu unarudi lin nimekumiss sana.
Mke: Narudi hny namalizia soon semina yaani ni naamka asbh mpka jioni.
Mume: He mkewangu nani huyo kajamba pembeni yako.
Mke: He mume wangu unajua mpaka saauti ya nanii yangu.
Mume:Nataka kujua nani huyo hiyo sio kijambo chakokabisa.
Mke: Atakuwa mkwe wangu basi.

Usipunguzeni wivu wanaume toeni muda kidogo kama wakala wa nishati wanavyotupa bei zao za mafuta wanapojisikia
 
Mbaya haina cha maana labda kama ni ya kulalia
 
post zingine za ajabu.

cc
mmu......................................
Mpwa shy nitakucheki kwenye pm asbh tunywe kikombe cha chai kabla ya jamaa ajatukaribisha kikombe chake ...
 
haya. Ulale salama pdidy
nawe pia kingast misn u much karibu na wewe ikombe cha chai kesho tuna mualiko wa mkuu mmoja
mi ntakuachia simu yangu incase watanipeleka sehemu mbaya wajulishe ndugu zangu waje
 
Paw Hizi Thread Nyingine Uweke Sehemu Husika
 
Last edited by a moderator:
Dada mmoja jana analalamika ndoa yake ngumu sana mumewe anambana mpaka penalti nikamwambia mpe kona ajaribu........embu sikiliza wivu wenyewe binti aliaga anakwenda songea kweli kaenda songea

akiwa chumbani akapigiwa simu na mumewe maongezi kama yafutayo

mume:mkewangu unarudi lin nimekumiss sana
mke :narudi hny namalizia soon semina yaani ni naamka asbh mpka jioni
mume:he mkewangu nani huyo kajamba pembeni yako
mke:he mume wangu unajua mpaka saauti ya nanii yangu
mume:nataka kujua nani huyo hiyo sio kijambo chakokabisa
mke:atakuwa mkwe wangu basi

usiiiiii punguzeni wivu wanaume toeni muda kidogo kama wakala wa nishati wanavyotupa bei zao za mafuta wanapojisikia
Mpwa katika ubora wako... Hatari sana eti ampe kona ajaribu.. Atamfunga kama David Luiz Jana mpwaa hahahahahah
 
mpwa katika ubora wako... Hatari sana eti ampe kona ajaribu.. Atamfunga kama david luiz jana mpwaa hahahahahah

haahaaaaaa huko mpwa usifikee tenaaaaa morinyoooo amenifurahishaa reo anamuitaaaaa

ruiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzz very dangerous man....loh kama naona wazee wabet muhindi anavyokunywa kikombe cha kahawa huku mguu unanesa loh
 
paw hizi thread nyingine uweke sehemu husika

mpwa kama aitakiwi humu basi paw nipige ban kabisaaaaaa.....mpwa soma ilipo mpwa hii niseriousss sitaniii kama thiego silva wa psg unamjua huyu????

Ruiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz..........morinyooooohh...hahaaa apenzi wa timuyangu wamenifurahisha ...jana mmoja kaficha bangooo lake baada ya mechi anaonyesha limeandikwa werikamuuuuu baaakiiii ruiiiizzzzz...lohhh baada ya kutuadhibuu..hii tuweke wapi mpwa ...
 
Huyo Hawezi Kukupga Ban Mpaka Uende Kinyume Na Sheria Za Jf
 
haahaaaaaa huko mpwa usifikee tenaaaaa morinyoooo amenifurahishaa reo anamuitaaaaa

ruiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzz very dangerous man....loh kama naona wazee wabet muhindi anavyokunywa kikombe cha kahawa huku mguu unanesa loh
Aaaah usimzungumzie muhindi mpwa.... Anapga huyo balaaa, wazee wenzangu kule kwenye jukwaa hoi mpwaaa... Ila mpwa kale ka luiz kameitenda the blues yangu roho inauma kweliiiii
 
aaaah usimzungumzie muhindi mpwa.... Anapga huyo balaaa, wazee wenzangu kule kwenye jukwaa hoi mpwaaa... Ila mpwa kale ka luiz kameitenda the blues yangu roho inauma kweliiiii

mpwa nimeipenda sanaaa ruiiiiiiiiiiiizzzzzz...unajua jamaa alishauriwa na abromo usimuuze huyu akaweka maneno kbao ..nililaani sana mbaya jamaa alipokuwa akiondoka jose alishindwa hata kumtakia kila la kheri kama vile alimwambia kafie mbele....hana adabu morinyooo kajiingizaa mwenyewe chaka.......

Muhindi usimguse mpwaaa yaani watu walitoa laki laki kusubiri million loh chezea nhindi wewee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom