WIVU: Maana, faida na hasara zake

Sasa chunga isikupate kwa kupunguza wivu sitachelewa kulia mimi hahahaaa.....Epuka kutaka muda mwingi kuwa pamoja, maana hata yeye anahitaji muda wa kuwa na faragha yake japo nusu saa kwa siku, epuka maswali ya ulikuwa unafanini, ulikuwa nani, usihangaike na simu yake, kuna mengi sana ya kuepuka mi nilikuwa na wivu balaa nashukuru mungu ninaweza kucontrol kwa kiwango kikubwa sana.
hehehhe but mpenzi wangu lazima nikujue ulikuwa wapi,kwahiyo kwanini,wapi,unafanya nini ni ngumu kuepuka
 
dawa ya wivu nikuachaa kufata mambo ya tayo kupelekea kuwaaa na wivu,mfano usipende kushikaa walaa kupokea au kusoma ujumbe wa simu wa mwezako,pilii muamini kwambaa hawezi kukufanyia ubaya/kusaliti mausiano yenu mfano,mnaenda kwenye part mahali unamuona anacheka na watu ambao huwajui kwa furaha na burudani,ukapanic..COOL YOU TEMPAAA DOWN
ukiziacha ndo atakuona ***** na kujiachia,siku ingine jamaa analetwa ndani kitandani mwako
 
Jamani Excel, mbona mi najitahidi sana muda wote ujisikie ni mwenye fahari kuwa na mimi?
basi acha kusave majina ya nahau kwenye simu yako ili simu ikipigwa nijue nani kapiga,si unajua mapenzi yanaumiza jamani
 
hehehhe but mpenzi wangu lazima nikujue ulikuwa wapi,kwahiyo kwanini,wapi,unafanya nini ni ngumu kuepuka

Ni muhimu kulinda heshima yako na una haki ya kuuliza ila maana iko hapa unajua alikuwa kazini maswali yanini labda tu kama alitoka ama alizidisha muda kuliko kawaida na bila taarifa, kila simu unataka nawe usikilize unasogeza sikio lako, au unapokea kama yuko mbali mpelekee, mpe uhuru usio wa ngamia.
 
hehehehe asubuhi nakupeleka na gari kazini halafu na mimi naenda kazini kwangu na jioni nakuja kukuchukua,
kwahiyo lazima tuwasiliane
 
Sasa hapo utanieleza huyo anayesave nahau, maana mi nasave full name ya mhusika.
hata ungesave full name inaweza zikawa sio majina halini,ila ukaribu wako na mimi ndo nitajua mwenendo wako na mimi
 
Naomba ujiamini mpenzi wangu nakupenda na unajua hilo siku zote utakuwa maalum kwangu.
 
Sawa baby itabidi tukifika home useme niache kipi kupendeza, kutabasamu, au?
nitakuambia mpenzi wangu,mbona ukinikinga na wivu tu nitakufikisha kwenye ulimwengu ambao hujawahi kuona
 
Hivi kuna namna ya kuzuia usipatwe na wivu wa mapenzi?unapokuwa na wivu wa kimapenzi kwa mtu ni
dalili ya kuwa unampenda mtu,sidhani kama utakuwa na wivu kama hujampenda mtu.Wivu husababisha
mtu kufanya maamuzi mabaya ambayo yanaathari na anaweza kujutia baadaye....hebu tusaidiane kama
kuna namna au jinsi ya kutibu wivu au kujiepusha na wivu.

wivu ni dalili ya kutokujiamini kwa hiyo ili kuundoa hakikisha unashughulika vizuri kitandani hadi umridhishe mwenzio
 
Kwa miaka ya sasa usaliti katika ndoa ni kukaribisha mauti kwa mwenzi wako.
Yehova Mungu uwaepushe na hali hii watumishi wako.
 
Wivu ni kitu cha thamani kubwa sana.. ukikosa kuwa na wivu,, utakuwa umepungukiwa na upendo. bila wivu huwezi kujitahidi kuwashinda wenzako wivu ndiyo sababu kubwa ya maendeleo na mafanikio katika kila jambo.. hata wanyama na ngege pia wadudu wana wivu.. wewe binadamu mwenye utashi ukose wivu itakuwaje.,,.

jitahidi kuvumilia sana.. akisema mtu kuwa yeye hana wivu ni muongo.. bali anaweza kusema ni mvumilivu sana...
 
........sure
 
Mi nafikiri wivu ni kama reaction anayoionesha mtu kutokana na kutofurahishwa jambo fulani. Kama huna wivu hata kidogo huyo mtu kweli humpendi.
 
Back
Top Bottom