Wivu kwa mchepuko

Kwani mkuu wewe ukiwa na uwezo simnamiliki wote na mkeo au inakuaje kwni?
Kufungua biashara different locations na wife inasaidia kuongeza mapato kuliko kuwa na one location. Pia kumfungulia wife duka lake inamfanya awe mjasirimali.
 
Kufungua biashara different locations na wife inasaidia kuongeza mapato kuliko kuwa na one location. Pia kumfungulia wife duka lake inamfanya awe mjasirimali.
Kwa maelezo yake tayar ni mjasilia mana hakai hata wiki nyumbani
 
Poleee...
Sasa we hupendi ajitafutie maisha ya uhakika pande ingine? We c upo pale kama party time?
 
Ukweli mchungu ila unaponya mkuu hapo kuna vitu najifunza kupitia ushauri wenu.Lakini usipouambia mchepuko kuwa umeoa si atasumbua sana kupiga simu huku akijihisi yupo peke yake mwisho wa siku atakuharibia ndoa yako mkuu?
kama umeoa inabidi tu umwambie mchepuko otherwise utagundulika tu na mkeo. Huyo jamaa anaumia moyo kwa kuwa aliwekeza sana kwa mchepuko. Elewa wazi kabisa kuwa unapokuwa umelala na mkeo na mchepuko nae amelala na wake unadhani nani anayeweza kuhimili baridi usiku peke yake wakati nae ana roho kama yeye
 
Maisha bana wakati mkeo anahangaika kutafuta riziki ya familia we unahangaika kutafuta uke
Hata mimi pia nahangaika kutafuta riziki ya familia sio mariyoo.Kila mtu anatafuta kwa uapnde wake ili tufikie target tuliyojiwekea.
 
Hata mimi pia nahangaika kutafuta riziki ya familia sio mariyoo.Kila mtu anatafuta kwa uapnde wake ili tufikie target tuliyojiwekea.
Embu acha kuwekeza kwenye uke za Nje .. Wanakupotezea malengo kwanza unaishi na mkeo kiwizi wizi si vizuri
 
point mdau unakuta mtu anakuwa na mume wa mtu jion mchepuko anabak mwenyewe .Wewe uko n mkeo nani atampa faraja lazima awe n mtu n yy pia anataka kuolewa
 
sio wote mie mwaka wa tano sijawahi kuchepuka n sina mpango muda mwing natumia kusali hvy nakuwa n hofu ya mungu
 
Daah! Kwa hiyo mkuu una michepuko mangapi? Na hiyo michepuko nayo ina michepuko, nakushauri utulie kwa mkeo.
 
Daah! Kwa hiyo mkuu una michepuko mangapi? Na hiyo michepuko nayo ina michepuko, nakushauri utulie kwa mkeo.
Nadhani yule nilishasema kuwa yeye ndiye aliyekuwa ananiganda sana wala sikuwa nikimuhitaji ila sasa hivi baada ya kutokea haya itabidi nirudi tu kwa yule ili nilee mtoto wangu kwa sababu hapa hakuna jinsi.
 
Ukisema hivyo utakuwa unaiumiza moyo kwa sababu mke wangu ndio kila kitu kwangu huwa najiheshimu sana na pia ninaitunza familia yangu ili isije ikaharibikiwa.
Pole mkuu unavyo mu cheat naye anagawa mipakani apunguziwe gharama za kuvuka boda mkuu wanawake na bizness kikubwa heshima na usimfumanie
 
Bro usiwe kama cofee olomide nawewe mchepuko tu unaona wivu si una mke wako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…