Wivu kwa mchepuko

Kama wanapatikana kibwege hivyo alikua anasubili nini mpaka kawezeshwa?

Kama una mume shukulu mume mwenye nafasi hapatikani hovyo angalia warembo wanavyo jiuza
Ni tamaa tu ndugu yangu, ukiwa ngangali huwezi kukosa shughuli ya kufanya. Kama wewe ni wa 100 na unataka matumizi ya 1000 lazima utatafuta njia mbadala.
 
Haingii kama mwanzo mkuu au huoni kama kajifunza?
 
Ujue Mpaka mtu achepuke kuna kitu anatafta cha kumridhisha mana kero za ndoa zisiporekebishwa shida mchepuko unajua Ku peti peti mno wote mnajiachia tu kwa raha bila stress
Hiyo ni kwa mwanamke kwa sisi ni nyama ikisimama tu sio mambo ya kurdhishana ndo mana wazee wetu walikua na msululu wa wake
 
Hiyo ni kwa mwanamke kwa sisi ni nyama ikisimama tu sio mambo ya kurdhishana ndo mana wazee wetu walikua na msululu wa wake
Dah ila kwingine kujiendekeza tu sasa mumezidi mno yani mkiona makalio tu shida
 
YAANI UNAMFUNGULIA BIASHARA MCHEPUKO? UJINGA GANI HUO. MCHEPUKO KUPEWA HELA YA FAMILIA NI NUKSI NA LAANA. ACHA UJINGA HUO. WEWE KU HIT AND RUN!!
 
Na ile mimba ameshajifungua? Au nayo unamsusia mchepuko wake?
Huyu ni mwengine mkuu yule hata kuhudumia sihudumii halafu amejifungua juma nne ya wiki iliyopita.Kule nilikuwa sina hesabu nako kabisa ila kwa alivyonitenda huyu itabidi nirudi kule nikalee mtoto wangu.Amenipigia simu nikamuangalie mtoto wala sijaenda kwa sababu nahofia sana usalama wa ndoa yangu yule ni king'ang'anizi sana.
 
Dah ila kwingine kujiendekeza tu sasa mumezidi mno yani mkiona makalio tu shida
Ndo maumbile Diva haya sio ya leo tatizo hiki kizazi chenu ndo kinakosa heshima kwa vidume ndomana ywajificha ha haaa
 
Huyo atakua na michepuko hasa kwenye boda ili wapate mteremko
Ukisema hivyo utakuwa unaiumiza moyo kwa sababu mke wangu ndio kila kitu kwangu huwa najiheshimu sana na pia ninaitunza familia yangu ili isije ikaharibikiwa.
 
Kwani yeye kakataa kulizwa mwenzio ndo anasumbua sasa hivi au hujamuelewa hapo atakae umia ni mchepuko ilitakiwa mumponde huyo mdada mana alihifadhiwa kimaisha au unapenda aende kujipanga na yeye?
Rudi nyuma utaona nimeanzaje na huyo niliemjibu hivo

Uko poa lakini wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…