George Smiley
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 471
- 267
If you cant beat them join them.
sioni sababu kwa nini Zanzibar should not be a tax haven. Factors zinazoifavour kuwa hivyo ni nyingi kuliko against.
Karafuu hawana, Mafuta na gesi pia hawana maana ingekuwepo Haliburton wangekuwa washaingia zenji.
Kilichobaki ni Znz kubadili strategy zake za kuichumi na kuwa financial hub/tax haven na hakuna serikali hata moja duniani itawakatalia kutofanya hivyo. Mifano hai ipo the biggest offshore web inaongozwa na Europe, ya Pili ni UK na tatu ni USA.
wote hao wata support znz kujiendesha kiuchumi kama Tax haven
Hili sidhani hata wale ma Hafidhina kama wataweza kulilpinga.