Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

Mie sio mwalimu ila sipendi mtu anayedharau mwalimu. Unasdiriki kuita mwalimu mjinga afu unatapika upjinga wakati mjinga ndo kakufundisha kuandika ujinga, mjinga ndo kakufundisha leo unaishi na familia yako ya kijinga.yaan walimu wajinga ssna wanafundisha ujinga na wajinga wanafanyikiwa kufanya vitu vya kijinga na ulimwengu mzima unadshangaa ujinga ambao walimu wajinga wamefundisha watu kufanya vitu vya kijinga
Kwani alifundisha bure? Kila kazi inamanufaa. Walimu hawana uspecial wowote. Eti alikufundisha unaishi na familia!
 
Yote kwa yote,hapana kudunda watoto.Tumieni mbinu za kiualimu kufikia malengo.Hasira na gubu mziache kwa wenza wenu kama mnao.
Kuna watu wanachngia positive juu ya walimu na si walimu, wameoa au kuolewa na walimu,wadogo zao kaka zao ni walimu, kwahiyo kinachoendelea huko wanakijua, kwahiyo usidhani anayetaka walimu wapate heshima ni wadundaji wa watoto wako . Kuna wazazi wanadunda zaidi ya huyo mwalimu, na hakuna kile wanafanywa. Kuna wazazi watoto wao wanawashindwa mpaka wanaenda kuwakabidhi kwa walimu wawadunde Ili wanyoke, na wananyooka. Wape heshima walimu.
 
Alafu walimu wanafanya mema sana Kwa Hawa watoto ila hayaonekani ila likija baya kilakiogozi anajikuta mtoaji wa matamko
Yan ni kilamtu ajishughulikie mwenyew mtotowake tutafikia kweli muda wanaokuwa shule ni mwingi kuliko nyumbni wanajifunza wapi adabu heshima kazi nidhamu km sio shule
Ila now walimu watimize majukumu Yao yanayowahusu fundisheni mkapumzike tabia waachie wazaziwao wadeal nazo
 
Kila siku tunasema walimu acheni ujinga wa kuchapa watoto, ukirekodiwa utabaki pekee yako unapambana na pumzi ya moto. Hakuna atakayesema ulikuwa na nia njema zaidi ya kusema ulikuwa unafanya ukatili kwa mtoto.
Bahati mbaya mmepewa na vishikwambi ili kurahisisha mchakato wa kurekodiwa.

Kaa mbali na mtoto wa mtu ili uwe salama wewe na familia yako, jikite kwenye kufundisha hilo ndo jukumu mama.

Aione mpwayungu village na Chizi Maarifa
 
Siku akikuta mwanao analiwa kiboga atakuachia mwenyewe upambane nalo.

Siku walimu wakisema Wasiwazingatie wanafunzi kwa tabia na mienendo yao unadhani kama Taifa tutakuaje.

Mfano anamwona mwanao analawitiwa na wenzake yeye anauchuna.

Anamwona mwanao anavuta bangi mwalimu anakaa kimya.

Anamwona mwanao anafundishwa wizi anakaa kimya.

Halafu baada jitoto lako likishaharibikiwa unakuja tena kuwalaumu walimu kwa staili nyingine ... Oh mwalimu wanapuuza wanafunzi.... Ooh shule Haina nidhamu...

Yake masasa Tisa mwalimu anapokaa na mwanafunzi shule it means amepewa mandate kumtake care yule mtoto yaani anaplay both parts as as teacher and as a parent.

Kama kukaripia hakutoshi ni viboko tu ndio suluhisho.

Kama hutaki hizo mambo chukua mwanao mfundishe nyumbani kwako mbona rahisi sana.

Ila ukishamkabidhi mwanao shuleni usilete ujuaji na sheria za nyumbani kwako. Shule zina taratibu zake.
Hizo tabia au matokeo yatabaki kuwa ya mtoto.Umejikita kwenye "akikuta,ukikuta,ikitokea nk"!Hiyo ni aftermath ya kushindwa kuanzia mtoto,mzazi,mlezi na jamii.Kwamba umdunde mtoto mahovyohovyo kwa kuhofia hizo "akikutwa,ukikutwa,ukiona,ukipata nk"?Hayo ni matokeo ambayo si lazima yatokee.Ni probabilities!Labda kama una ahadi na wakati.Acheni kupiga kimbwa watoto!
 
Kuna watu wanachngia positive juu ya walimu na si walimu, wameoa au kuolewa na walimu,wadogo zao kaka zao ni walimu, kwahiyo kinachoendelea huko wanakijua, kwahiyo usidhani anayetaka walimu wapate heshima ni wadundaji wa watoto wako . Kuna wazazi wanadunda zaidi ya huyo mwalimu, na hakuna kile wanafanywa. Kuna wazazi watoto wao wanawashindwa mpaka wanaenda kuwakabidhi kwa walimu wawadunde Ili wanyoke, na wananyooka. Wape heshima walimu.
Haujanielewa.Nimezaliwa na mwalimu.Dada yangu ni mwalimu.Na nina ndugu,jamaa na marafiki ni walimu.Sichangii negatively!Nawaasa kwa upendo na kuwapa mbinu.Wasipige watoto kwa hasira kali.Watumie hekima kuadhibu kama sheria itakavyo.Wasifanye mambo yarakayoleta rabsha na kadhia baadaye.Wigwa mwanakwetu?
 
Kwani hayo yote ni lazima upige?Hauna methodologies za ualimu wako kama mbadala wa vipigo?Kapige watoto wako ujifurahishe na kuondoa stresses zako.Asipokuwa mtii weye kama mwalimu utapunjwa mshahara wako?
ukiacha darasani Kuna mambo nje ya darasa mfano Kunajamii hazina vyoo had wakat huu Mwalimu unafundisha kutumia choo ukute wamejiaaidia nje Tena unawafundisha baada ya wiki unakuta Tena 😂😂 jamni Kuna mambo hayavumiliki😂😂
 
Alafu walimu wanafanya mema sana Kwa Hawa watoto ila hayaonekani ila likija baya kilakiogozi anajikuta mtoaji wa matamko
Yan ni kilamtu ajishughulikie mwenyew mtotowake tutafikia kweli muda wanaokuwa shule ni mwingi kuliko nyumbni wanajifunza wapi adabu heshima kazi nidhamu km sio shule
Ila now walimu watimize majukumu Yao yanayowahusu fundisheni mkapumzike tabia waachie wazaziwao wadeal nazo
Kila mzazi ahangaike na mwanae. Hata mwalimu ana watoto, tabia ni jukumu la mzazi/mlezi kuhangaika nalo.

Mwalimu fundisha ukimaliza kauze visheti mengine mwachie mwenye mtoto
 
ukiacha darasani Kuna mambo nje ya darasa mfano Kunajamii hazina vyoo had wakat huu Mwalimu unafundisha kutumia choo ukute wamejiaaidia nje Tena unawafundisha baada ya wiki unakuta Tena 😂😂 jamni Kuna mambo hayavumiliki😂😂
Anaitwa mtoto.Tumia mbinu mbadala na rafiki.Siyo vipigo.Na kama ni adhabu,iwe yenye kufuata sheria na viwango.Hatutaki mpate tabu baadaye au mtuumizie watoto na kuua kabisa jamani!Muelewe haya muheshimiwa.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kila mzazi ahangaike na mwanae. Hata mwalimu ana watoto, tabia ni jukumu la mzazi/mlezi kuhangaika nalo.

Mwalimu fundisha ukimaliza kauze visheti mengine mwachie mwenye mtoto
Tukiwaonya au kukataa jambo,walimu wanadhani jamii nzima inawachukia,kuwashambulia,kuwanyanyasa,kuwaondoa relini na kuwakataa.Si kweli hata kidogo.Tusijenge jamii katili kihivyo.Tuenende kwa utaratibu na hekima iongoze.Basi!
 
  • Thanks
Reactions: K11
Anaitwa mtoto.Tumia mbinu mbadala na rafiki.Siyo vipigo.Na kama ni adhabu,iwe yenye kufuata sheria na viwango.Hatutaki mpate tabu baadaye au mtuumizie watoto na kuua kabisa jamani!Muelewe haya muheshimiwa.
Kwenye comment yangu sijataka kutumia viboko nimesema Kuna mambo hayavumiliki sijui nikuulize wew mwanao ana miak 8 akijinyea mara 3 mara nne na umeshamfundisha jinsi ya kujisaidia na choo kipo unatumia mbinu gani maybe usaidie walimu nao wajifunze hiizo mbinu unzosema unapolea wanao???
 
Nadhani,narudia nadhani,unaniwekea jibu mdomoni.A leading question!Nitakazania kumuelewesha afanye lililo jema muda wote kwa maneno.Na wakati mwingine kwa ukali.Maana watoto wana mtindo wa kumjaribu mtu.Kama,narudia tena,kama ikibidi kumpa kichapo cha fimbo nitajikita kwenye kuadabisha.Siyo kumdundula,kumkunyuga,kumbonda hovyohovyo bila kuzingatia usalama,afya na hata psychosis effecteions zinazoweza kumtokea mtoto.Najijua mimi ni mkali kwa tabia mbaya za watoto lakini nina kiasi.
 
Kama mtoto hafanyi home work wewe mwalimu unapungukiwa na nini? Mshahara wako hulipwi? Mnajipa majukumu ambayo si yenu. Sisi wazazi hawa watoto wameshatushinda tunawaleta shule waje wakue. Pia tunalazimishwa tu na serikali
Ahaaaa haaa hili taifa haki ni bovu sana,,ungejua kuwa nusu ya wanafunzi wangu hata hawana time na kusoma !!! Halafu afisa elimu anakuja kukuuliza kwanini wanafunzi wako hawajafaulu?? Kwann tusikukate mshahara Kwa kufelisha??

Halafu wazazi wenyewe ndio km mtoa mada ,, hili taifa halina miongozo kabisa
 
Nadhani,narudia nadhani,unaniwekea jibu mdomoni.A leading question!Nitakazania kumuelewesha afanye lililo jema muda wote kwa maneno.Na wakati mwingine kwa ukali.Maana watoto wana mtindo wa kumjaribu mtu.Kama,narudia tena,kama ikibidi kumpa kichapo cha fimbo nitajikita kwenye kuadabisha.Siyo kumdundula,kumkunyuga,kumbonda hovyohovyo bila kuzingatia usalama,afya na hata psychosis effecteions zinazoweza kumtokea mtoto.Najijua mimi ni mkali kwa tabia mbaya za watoto lakini nina kiasi.
Umesema zitumike method za kumuonya sio viboko now umebadilika wachapwe Kwa Kwa kumaudabisha aya bhna
 
Ahaaaa haaa hili taifa haki ni bovu sana,,ungejua kuwa nusu ya wanafunzi wangu hata hawana time na kusoma !!! Halafu afisa elimu anakuja kukuuliza kwanini wanafunzi wako hawajafaulu?? Kwann tusikukate mshahara Kwa kufelisha??

Halafu wazazi wenyewe ndio km mtoa mada ,, hili taifa halina miongozo kabisa
Mshahara hauongezwi kwa vipigo visivyozingatia sheria.Tumia mbinu zako za ualimu.Kuchapa kwa kufuata sheria iwe jambo la mwisho.Ualimu ni kazi ya akili ili uwaambukize watoto/wanafunzi akili.Siyo kulima au kugombana na ng'ombe musasi/kichaa!
 
Umesema zitumike method za kumuonya sio viboko now umebadilika wachapwe Kwa Kwa kumaudabisha aya bhna
Mkuu,kuchapa kwa kuzingatia sheria itakavyo,si mbaya.Anza kwa kumuelewesha mara nyingi kadiri ya uwezo uliojaaliwa.Ambacho hakitakiwi ni kupiga mifimbo hovyo,ngumi,mateke na hata vichwa.Itumike akili zaidi.Hakuna atakayewalaumu.
 
Mwanadamu yoyote yule bila kutishiwa adhabu hawezi kuishi kiungwana na binadamu wenzake. Iwe ni kijana au mzee, muungwana au mshenzi, mweupe au mweusi.

Lengo la nchi ni kutengeneza nguvu-kazi yenye maadili na uwajibikaji. Ninyi mnaotaka watoto wenu wasipewe adhabu wanavyokaidi pelekeni watoto wenu shule za GCSE, au huko Ulaya, lakini kama wakiwepo hapa Tanzania watachapwa viboko tu.

Tunachokataza ni ukatili uliodhidi juu ya watoto, tena ambao kiuhalisia hutokea mara chache mno. Tena bahati mbaya hukuzwa na vyombo vya habari na asasi za kiraia zenye mlengo wa kushoto kuliko uhalisia wenyewe ulivyo huko mashuleni.

Nimesoma shule za Kikatoliki, wanafunzi walikuwa ni watoto wa kizungu, waarabu, wahindi na weusi tulikuwa wakuhesabika. Ila tunasulubishwa kwa adhabu kali mno na mapadri wa kikatoliki hadi tukatia akili.

Halafu siyo lazima kila mtu asome...
 
Adhabu zizingatie sheria na viwango.Kuna adhabu nyingine unapaswa kutumia akili zaidi kuliko vipigo.Si kwamba watoto wasiadhibiwe,laa hasha!Msiwapige mangumi,viboko sehemu mbaya,mara vichwa na yafananayo na hayo.Kwani wakiadhibiwa kisheria kuna shida gani?Unataka umchape mtoto fimbo za kwenye ulimi ili iweje sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom