huu ni uharo
Kama hana hoja basi ignore him. Usipoteze muda wako kutoa povu nyuma ya keyboard.Kauli za kichochezi,vitisho na zisizo na ustaarabu zimedhihirisha kuwa uwezo wake wa kupambanua mambo umefika kikomo. Umegota. Huwezi kuhamasisha maandamano na migomo leo wakati jana umetoka kunywa juice ikulu...mbowe ashindane kwa hoja sio kwa vioja
huu ni uharo
Bangi siyo sigara jamani mwambieni huyo mtoto waaa aikaeli aache kutumia hivyo vitu vikali
ningeshangaa sana utaifa kwanza leo ipite bila kufungua thread ya ushuzi hivi.tutapigania inchi yetu wenyewe sisi wenye moyo wa ujasiri si kamanda mbowe alie tutuma.inchi ni yetu sote na tutawakimbiza.Kauli za kichochezi,vitisho na zisizo na ustaarabu zimedhihirisha kuwa uwezo wake wa kupambanua mambo umefika kikomo. Umegota. Huwezi kuhamasisha maandamano na migomo leo wakati jana umetoka kunywa nijuice ikulu...mbowe ashindane kwa hoja sio kwa vioja
Hiyo tahadhari ya Mbowe kuhusu wana-UKAWA Ina maana moja tu kwamba ndio itakuwa sababu ya kuvunjika UKAWA huko mbele Kwamba ninyi CUF na NCCR haujengi vyama vyenu hivyo hatuwahitaji....
Kwa nn msimshauri 6 aachane na matumizi yasiyo na tija?