Wito wa Mbowe kwa vyama vya Upinzani usipuuzwe!

Uzuri wa watanzania tumejaliwa uvumilivu wa hali ya juu, hatujafikia hatua ya kuchukiana kiasi hicho.

"Watanzania wote ni wamoja, tuwe wamoja-Philip Mangula 2014"
 
teh teh teh teh hoja alizoziibua ni nzito haziwezi kujibiwa kwa kejeli.inaonyesha mmepanic nashauri mtulize akili kwanza
 
Kauli za kichochezi,vitisho na zisizo na ustaarabu zimedhihirisha kuwa uwezo wake wa kupambanua mambo umefika kikomo. Umegota. Huwezi kuhamasisha maandamano na migomo leo wakati jana umetoka kunywa juice ikulu...mbowe ashindane kwa hoja sio kwa vioja
Kama hana hoja basi ignore him. Usipoteze muda wako kutoa povu nyuma ya keyboard.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
​Akili ndogo hata siku moja haiwezi kushinda akili kubwa.
 
Vyama vya upinzani vikiungana kwa nia mmoja,..huo utakuwa MWISHO wa ccm, otherwise hakuna jipya!. Njaa ya ruzuku inavitesa vyama vya upinzani,
 
Bangi siyo sigara jamani mwambieni huyo mtoto waaa aikaeli aache kutumia hivyo vitu vikali
 
Ni upuuzi ku-under-estimate Adui wako!!! That is already the sign of failure.
 
Kauli za kichochezi,vitisho na zisizo na ustaarabu zimedhihirisha kuwa uwezo wake wa kupambanua mambo umefika kikomo. Umegota. Huwezi kuhamasisha maandamano na migomo leo wakati jana umetoka kunywa nijuice ikulu...mbowe ashindane kwa hoja sio kwa vioja
ningeshangaa sana utaifa kwanza leo ipite bila kufungua thread ya ushuzi hivi.tutapigania inchi yetu wenyewe sisi wenye moyo wa ujasiri si kamanda mbowe alie tutuma.inchi ni yetu sote na tutawakimbiza.
 
Hiyo tahadhari ya Mbowe kuhusu wana-UKAWA Ina maana moja tu kwamba ndio itakuwa sababu ya kuvunjika UKAWA huko mbele Kwamba ninyi CUF na NCCR haujengi vyama vyenu hivyo hatuwahitaji....
 
Hiyo tahadhari ya Mbowe kuhusu wana-UKAWA Ina maana moja tu kwamba ndio itakuwa sababu ya kuvunjika UKAWA huko mbele Kwamba ninyi CUF na NCCR haujengi vyama vyenu hivyo hatuwahitaji....

Of course ndio maana ya title ya thread!unategemea chadema ipambane kuunda misingi halafu wengine wabweteke ?
 
Unakuwa Kiongozi wakati chama kinakua then wakati kinaporomoka sasa kitapanda Kwa lipi?
 
Back
Top Bottom